Kuku wako manati ya nini?

Kuku wako manati ya nini?

Kuna Wanawake usipowaingiza 'utumwani kwa kuwafokea na kukagua simu na vibao na kuwa controling ' hawaamini kuwa wanapendwa
 
Mkuu mwekundu hilo tena jambo jingine lisilosababishwa na wivu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna Wanawake usipowaingiza 'utumwani kwa kuwafokea na kukagua simu na vibao na kuwa controling ' hawaamini kuwa wanapendwa

Boss tafadhali kwa mwendo huo wa alikuwa wapi? alikuwa na nani? hata kama alikuwa hana nia ya kukusaliti ataanza tabia mbaya, wivu tuwe nao ila usiwe wivu mkali.
 
Naenjoy huo wivu, kufatiliwa fatiliwa, nikitoka simu kila saa "vipi mbona haurudi, kwani upo wapi mbona pako kimya hivyo" yani ni usumbufu kama nipo bar hata zanzi naona haimezeki mi naona raha....
 
MankaM nyuraa acha hizo wako vipi anayo self control?
 
Last edited by a moderator:
Naenjoy huo wivu, kufatiliwa fatiliwa, nikitoka simu kila saa "vipi mbona haurudi, kwani upo wapi mbona pako kimya hivyo" yani ni usumbufu kama nipo bar hata zanzi naona haimezeki mi naona raha....

Dawa yako nikuozeshe kwa dume la kikurya au la kinyamwezi wewe, uuone mziki wake atakuchunga hata ukiingia toilet ambayo iko ndani.
 
Uwivu ni kidonda.........
Ila ni kitu muhimu kwenye mapenz..ni kama vanilla icing kwenye cake
 
Boss tafadhali kwa mwendo huo wa alikuwa wapi? alikuwa na nani? hata kama alikuwa hana nia ya kukusaliti ataanza tabia mbaya, wivu tuwe nao ila usiwe wivu mkali.

perfectly . yan mtu unamuheshimu kila anachosema unaitikia yes......yes ...yes.... ukiona dalili ya malumbano hata kama yey kakosea ....wew ndie unajishushusha ilimradi ti muende sambamba..anakitukana unakaa kimya si kwamba hujui matusi noo ni heshima na busara tu..hio haitoshi..dah MPAKA UNACHOKA YAN ...na moyo automaticcally unajikuta unacease juu yake
 
Back
Top Bottom