😂 😂 😂 😂 😂Kuna mada zangu za zamani nikizisoma [emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ahahah eti ShidaHizo chips za vichwa, ng'oko na utumbo za tandika na kigogo haziwezi kuwa na tija kwa warembo wanaojielewa. We endelea kula kwa urefu wa kamba yako akina Shida, Sikitu na Tatu wanawake wanaonemwa kabla ya kuolewa.
Huku kwa akina Loreen, Shawna, Marylin, Nolanda na Taliyah waachie wenye kipato cha kwenda kulishia chips za KFC wale nchi mzee. Hii ndio DSM kamanda!
Mkuu upo?Ongeza na kinywaji baridi hapo mbona vyupi vingi vimevuliwa kwa dada zetu hawa.
Kumbe mpenzi wangu ndio michezo yako hio.Tangu ulipoanza kuniahidi[emoji57]
Eh manAhahah eti Shida
Jamaa anachukulia simpoShida, Sikitu na Tatu, Mkuu Umetishaaaaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kumbe mpenzi wangu ndio michezo yako hio.
Ya kuomba simu kwa team fisiIpi mpenzi
Mbona kama unanifokea mimi[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji40][emoji40][emoji40][emoji25][emoji25][emoji25]