Kuku mzima wa uswazi

Kuku mzima wa uswazi

Umepotea njia humu wanawake wote wanaume wao ni watu wenye pesa. Hawatoki wala kuolewa na makapuku! Sasa hio chips kuku yako ya 2,500/- utampata nani?!
we ndugu usimkosoe huyo mushana ni lichawi la kufwa mtu jichunge.
 
Mimi nitakununulia hio chips kuku ya 2500/-

Unaonaje ukinitumia sasa hivi ninunue mwenyewe[emoji13]

Itapendeza zaidi ukija kuchukua nyumbani....🙂

Hata kama we pacha wangu sina hakika kama nakuamini kiasi hicho[emoji4]

Kwanini tena hatuaminiani?

Wewe unaniamini?

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mim kichwa miguu na utumbo cjawai kula tukichinja kwetu hivyo tunatupa nashangaa watu wanaokula
 
Hiki chakula kimewatia sana majaribuni mabinti wengi...tangu kitambo mpk leo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom