Kuku aina ya kuroiler from India

wa one week unawauza shilling ngapi?? na je naweza pata 500????????????????
 
Nahitaji hao vifaranga Wa kuroiler waliofikisha wiki kuanzia tatu je naweza pata
 
Ingia fb kuna page "kuku project"
Hao jamaa wapo magomeni dsm wanauza hao kuroiler kwa 1500
 
Mkuu unatisha unaweza kuja kua kituo kikubwa sana cha kuzalishia kuku
Wakuu kwa mara nyingine nimefanikiwa kuagiza hawa vifaranga wa Kuroiler. Hawa ni kuku kutoka India na wanaweza fugwa free range na hawa like Dorep wanakuwa wakubwa sana. So by mwezi wa 12 nitaanza kutoa supply ya kwanza ya hawa kuku.

Kiongozi vipi ulifanikiwa kuleta hawa vifaranga na ni bei gani?
 
Wakuu kwa mara nyingine nimefanikiwa kuagiza hawa vifaranga wa Kuroiler. Hawa ni kuku kutoka India na wanaweza fugwa free range na hawa like Dorep wanakuwa wakubwa sana. So by mwezi wa 12 nitaanza kutoa supply ya kwanza ya hawa kuku.
Mkuu nipe contacts zako nije nikutembelee na kujifunza. Nawataka hao kuku.
 
Wakuu kwa mara nyingine nimefanikiwa kuagiza hawa vifaranga wa Kuroiler. Hawa ni kuku kutoka India na wanaweza fugwa free range na hawa like Dorep wanakuwa wakubwa sana. So by mwezi wa 12 nitaanza kutoa supply ya kwanza ya hawa kuku.
Mkuu vipi umeshaanza ku-supply mayai? if yes unauza bei gani kwa yai?
 
Wakuu kwa mara nyingine nimefanikiwa kuagiza hawa vifaranga wa Kuroiler. Hawa ni kuku kutoka India na wanaweza fugwa free range na hawa like Dorep wanakuwa wakubwa sana. So by mwezi wa 12 nitaanza kutoa supply ya kwanza ya hawa kuku.

Mkuu inaonekana unaamini sana vitu kutoka nje,lakini kwa uzoefu wangu ni kwamba unaweza ukawa umeagiza kutoka India na bado usipate F1 ,ukaletewa F3 au ukaletewa back crossing ya parent breed kutoka F1,kwanini usiwe mbunifu ukazalisha mwenyewe F1 ya Kuroiler kwa crossing ya majogoo ya coloured broiler na mitetea ya Rhode Island Red ?au majogoo ya White leghorn ukaya - cross na mitetea ya Rhode Island Reds?

Na unaweza ukaenda mbali zaidi kwa kufanya crossing ya F1 na mojawapo ya parents hapo juu ili upate sifa unazozitaka,kwa mfano kama unataka breed ambayo itakuwa ni kuroiler lakini yenye sifa nyingi za White leghorn utafanya hivi:

F1 X White leghorn = BC1white leghorn

hiyo BC1 white leghorn inamaanisha Back Crossing to parent Line of White leghorn.,kwa kutumia njia hii unaweza hata kuamua rangi ya kuroiler wako iweje.ufugaji ni ubunifu na unaweza ukatengeneza breed yako ambayo inaendana na mazingira yako na ikastawi kuliko hata hao kuroile unaowasubiria kutoka India.by the way hawa kuroiler kama jina lao linavyoonekana wametokana na BROILER kabisa sema wameongezewa tabia za Rhode island red ili waweze kutaga,wawe na tabia za kienyeji na vile vile wawe wazito.

Lastly nimeona unazungumzia pia 'F' au 'Fillial' kwenye Black Australorp maarufu kama kuku wa malawi,kwanza nikujulishe tu kuwa hawa kuku wa malawi sio chotara kama walivyo Kuroiler,Kari,kenbro,Rainbow roster,Sasso n.k, hawa ni pure breed kama walivyo White/blue/black leghorn,RIR,au Light susex.hivyo waondoe kabisa kwenye kundi la kuku chotara maana hawa ni kienyeji pure na vile vile ndio parent breed.
 
images
Preta nitakutafuta unisaidie, niko very much interested.
 
Wakuu kwa mara nyingine nimefanikiwa kuagiza hawa vifaranga wa Kuroiler. Hawa ni kuku kutoka India na wanaweza fugwa free range na hawa like Dorep wanakuwa wakubwa sana. So by mwezi wa 12 nitaanza kutoa supply ya kwanza ya hawa kuku.
Mkuu mayai tayari?? maana mwaka wa tatu huu sasa unakatika bado tunasubiria mzigo wa kwanza
 
KUROILER :
Asili ya kuku hawa wa kuroiler wametokea nchini _INDIA_
Hawa ni kuku wa kibiashara yaani ni kama broiler wa kienyeji. Wana kuwa kwa haraka sana miezi *3--4* anakuwa yupo tayari kuingia sokoni kama akipewa matunzo mazuri. Wana taga vizur

Kuku hawa kwa mwaka unaweza vuna Mara Tatu kwa makadrio ya miezi 4.

"Kwa mfano mwezi wa 1 ukiingiza Vifaranga bandani hadi mwezi 4 utawauza, mwezi wa 5 ukiingiza Vifaranga bandani hadi mwezi wa 8 utawauza , mwezi wa 9 ukiingiza Vifaranga bandani hadi mwezi wa 12 utawauza."

Kwahiyo ni mizunguuko 3 kwa mwaka mmoja.

kila Batch ukiuza kuku 1,000 kwa mwaka utakua umeuza kuku 3,000

Huku kuku wa kienyeji pure mizunguuko 1-2 kwa mwaka.

*Sifa Za Kuku Aina Ya Kuroiler*
•Wanakua haraka.
•Wanakadiriwa kuwa na uzito kati ya kilo 3 mpaka 3 na nusu wakiwa na umri wa miezi 4
•Wanavumilia magonjwa.
•Wanafugika aina zote za ufugaji ndani, nusu huria na huria kabisa.

*Muhimu* kuroiler wanafanua vizuri zaidi katika upande uzalishaji mayai na kwa ukuaji wa haraka...

Tanga Poultry Farm
 
Back
Top Bottom