mkuu umeshaachana na mambo ya kubet?
Ahahaha kitambo sana mkuumkuu umeshaachana na mambo ya kubet?
Mkuu kwa plan hiimkuu tupe na mchango wa vifanga 100 kwanzia tukiwanunua mpk hio miezi 4 makadirio ni shilingi ngap matumizi maana utakuja kuta faida ni kidogo sana
mkuu kuna option murua mpya ya kupiga hela rudi mkuu!Ahahaha kitambo sana mkuu
Haahha...unataka Mkuu apigwe hadi hela ya Kukumkuu kuna option murua mpya ya kupiga hela rudi mkuu!
wanasema kwenye betting hakuna option rahsi 100%mkuu kuna option murua mpya ya kupiga hela rudi mkuu!
Hhahhahahhah...naona harufu ya kurudi kubetiwanasema kwenye betting hakuna option rahsi 100%
Embu njoo PM
Chakula,umeme,maji na matunzo mengine bei gani? Bei yajumla kuku mmoja bei gani?KUROILER :
Asili ya kuku hawa wa kuroiler wametokea nchini _INDIA_
Hawa ni kuku wa kibiashara yaani ni kama broiler wa kienyeji. Wana kuwa kwa haraka sana miezi *3--4* anakuwa yupo tayari kuingia sokoni kama akipewa matunzo mazuri. Wana taga vizur
Kuku hawa kwa mwaka unaweza vuna Mara Tatu kwa makadrio ya miezi 4.
"Kwa mfano mwezi wa 1 ukiingiza Vifaranga bandani hadi mwezi 4 utawauza, mwezi wa 5 ukiingiza Vifaranga bandani hadi mwezi wa 8 utawauza , mwezi wa 9 ukiingiza Vifaranga bandani hadi mwezi wa 12 utawauza."
Kwahiyo ni mizunguuko 3 kwa mwaka mmoja.
kila Batch ukiuza kuku 1,000 kwa mwaka utakua umeuza kuku 3,000
Huku kuku wa kienyeji pure mizunguuko 1-2 kwa mwaka.
*Sifa Za Kuku Aina Ya Kuroiler*
•Wanakua haraka.
•Wanakadiriwa kuwa na uzito kati ya kilo 3 mpaka 3 na nusu wakiwa na umri wa miezi 4
•Wanavumilia magonjwa.
•Wanafugika aina zote za ufugaji ndani, nusu huria na huria kabisa.
*Muhimu* kuroiler wanafanua vizuri zaidi katika upande uzalishaji mayai na kwa ukuaji wa haraka...
Tanga Poultry Farm
Maswali ya kitoto kama haya huwa sijibuChakula,umeme,maji na matunzo mengine bei gani? Bei yajumla kuku mmoja bei gani?
tatizo umezoea kusikiliza taarabu, lazima unaona mipashoHapo hakuna cha maana ulichoeleza zaidi ya mipasho,wabongo tushawajua kwa kusifia vitu tu bila kuwa na namna ya kufikia huo uzuri.Jazia nyama ueleweke.
Huwezi kujbu kwasababu umechemka. Ni sawa mtu aje hapa aseme fanya biashara ya kuuza vitumbua. Kitumbua kimoja 200, ukiuza 100 kwa siku unapata 20,000/-. Bila kutueleza gharama za kuzalisha kitumbua kimoja.Maswali ya kitoto kama haya huwa sijibu
Acha upuuzi, sina muda wakupoteza kuanza kukupa mchanganuoHuwezi kujbu kwasababu umechemka. Ni sawa mtu aje hapa aseme fanya biashara ya kuuza vitumbua. Kitumbua kimoja 200, ukiuza 100 kwa siku unapata 20,000/-. Bila kutueleza gharama za kuzalisha kitumbua kimoja.
Unazingua hapo unafeli mkuuAcha upuuzi, sina muda wakupoteza kuanza kukupa mchanganuo