Kukosolewa. . . .

kwa lipi sasa...kwani kama wewe mwenyewe ndo uliingia mkenge na kulivaa jimwanaume gumegume si wewe mweyewe..!? sio utusingizie wanaume woote..wengine tunaheshima zetu Smile..afu hata wanawake wa tabia hizi wapo...yaani wabishi ka nini ..!! kila anachosema yeye ndo anataka kiwe hivyo bila kujali mwanaume anatumia nguvu gani kutafuta....
Nrudia tena ....tutake radhi kabla sijaomba mwongozo..oohoooo..!!

Hehehehhe mwongozo gani unataka?

Alichosema Smiley kina ukweli na ulichosena wewe kina ukweli vile vile, . . . kubalianeni kila mmoja yuko sahihi kwa kiasi chake.
 
Unajua saa zingine unakuwa unamkosoa mtu ana mind anaanza ohooo "Hunijui sikujui achana na mimi" sasa si bora kumuacha ni bora nimkosoe mtu ambaye ninamjua au ambaye huyu najua nikafanye naye conversation huko mbeleni hata tuki- agree to disagree tutaelewana naye atanielewa kuliko una mkosoa mtu baadae unaambulia matusi na kejeli.
 
Heheheee kweli lakini. Na wengine sasa wakishajipatia vigroupie ndo inakuwa tabu tupu! Wakimuona tu kaosha kinywa chake hao wanakurupuka kugonga vi likes na vi thanks vyao vya kinafiki. I really hate groupies, especially the blind ones.

LOLZZZ. , .
Groupie ndo wanaompa anaependa sifa maisha ujue.Bila wao mtu anaweza jiona hana maana.
 
Unajua saa zingine unakuwa unamkosoa mtu ana mind anaanza ohooo "Hunijui sikujui achana na mimi" sasa si bora kumuacha ni bora nimkosoe mtu ambaye ninamjua au ambaye huyu najua nikafanye naye conversation huko mbeleni hata tuki- agree to disagree tutaelewana naye atanielewa kuliko una mkosoa mtu baadae unaambulia matusi na kejeli.
Maana sasa juhudi zako na nia yako njema inapotea bure tu
 
I am telling you many times there is a fine line between fair criticism and downright personal attacks.

But question to you Lizzy, do you sometimes perform your own reality checks? Meaning self-criticism...

I certainly do. .
Hiyo ni njia moja wapo ya kujifunza kuhusu wewe mwenyewe ulivyo. Najua nnapokua nnapokua unfair na nnapokua fair hata kama mhusika ataona vinginevyo.
 
Heheheee kweli lakini. Na wengine sasa wakishajipatia vigroupie ndo inakuwa tabu tupu! Wakimuona tu kaosha kinywa chake hao wanakurupuka kugonga vi likes na vi thanks vyao vya kinafiki. I really hate groupies, especially the blind ones.

Ha ha ha hebu tusaidie, bling groupies and not so blind ones wanatofautishikaje?
 
Unajua saa zingine unakuwa unamkosoa mtu ana mind anaanza ohooo "Hunijui sikujui achana na mimi" sasa si bora kumuacha ni bora nimkosoe mtu ambaye ninamjua au ambaye huyu najua nikafanye naye conversation huko mbeleni hata tuki- agree to disagree tutaelewana naye atanielewa kuliko una mkosoa mtu baadae unaambulia matusi na kejeli.

Easier said than done my dude. Most of us are so quick and eager to criticize others but get very defensive when the tables are turned.

Here we are criticizing those who don't accept others' criticisms but none of us has admitted that they have difficulty accepting others' criticisms.

So does this mean that all of us who have commented in this thread thus far take criticism well? Or is it too subjective of a subject?
 
Unajua saa zingine unakuwa unamkosoa mtu ana mind anaanza ohooo "Hunijui sikujui achana na mimi" sasa si bora kumuacha ni bora nimkosoe mtu ambaye ninamjua au ambaye huyu najua nikafanye naye conversation huko mbeleni hata tuki- agree to disagree tutaelewana naye atanielewa kuliko una mkosoa mtu baadae unaambulia matusi na kejeli.

Aaaa kumkosoa unamsaidia japo hataki. Naskia unapata "thawabu" ...:D
 
Unajua saa zingine unakuwa unamkosoa mtu ana mind anaanza ohooo "Hunijui sikujui achana na mimi" sasa si bora kumuacha ni bora nimkosoe mtu ambaye ninamjua au ambaye huyu najua nikafanye naye conversation huko mbeleni hata tuki- agree to disagree tutaelewana naye atanielewa kuliko una mkosoa mtu baadae unaambulia matusi na kejeli.

Hahahahahha eti "hunijui. . . sikujui achana na mimi".Next time mtu akinikosoa humu namtupia hiyo.
 
Unajua saa zingine unakuwa unamkosoa mtu ana mind anaanza ohooo "Hunijui sikujui achana na mimi" sasa si bora kumuacha ni bora nimkosoe mtu ambaye ninamjua au ambaye huyu najua nikafanye naye conversation huko mbeleni hata tuki- agree to disagree tutaelewana naye atanielewa kuliko una mkosoa mtu baadae unaambulia matusi na kejeli.

hahahahahahahahah
TF umenivunja sana mbavu sina hamu ..Nimecheka sana..
 
I certainly do. .
Hiyo ni njia moja wapo ya kujifunza kuhusu wewe mwenyewe ulivyo. Najua nnapokua nnapokua unfair na nnapokua fair hata kama mhusika ataona vinginevyo.

Fantastic Lizzy. Now, ukishajua umekuwa au ulikuwa unfair unafanyaje?
 
Hehehehhe mwongozo gani unataka?

Alichosema Smiley kina ukweli na ulichosena wewe kina ukweli vile vile, . . . kubalianeni kila mmoja yuko sahihi kwa kiasi chake.

mh..mh..hapana,yeye ametusema wanaume wote tunatabia hii..wakati si kweli...hakyanan tena ntaomba mwongozo!
 
Teh teh teh nenda kwenye chi chat ukaanzishe uzi halafu ntakuja. Hapa sitaki kuuchakachua uzi wa Lizzy bana.

Nahitajika kutafuta maneno ya aya ya kwanza ya kukupamba kwanza kabla sijafika kwenye hoja husika kwanza ?
 
Lizzy mbona hao wengi sana,hata kama akikosea anataka asifiwe ...!ndio jamii tunayoishi nayo
 
Nahitajika kutafuta maneno ya aya ya kwanza ya kukupamba kwanza kabla sijafika kwenye hoja husika kwanza ?

Heck no...I am a straight shooter so I have no problem with anyone going just straight to the point. Sugarcoating is for the timid and timidity is not one of my traits.

Kwa hiyo we anzisha tu na atakayekwazika au kujihisi na akwazike na kujihisi.
 
Unajua saa zingine unakuwa unamkosoa mtu ana mind anaanza ohooo "Hunijui sikujui achana na mimi" sasa si bora kumuacha ni bora nimkosoe mtu ambaye ninamjua au ambaye huyu najua nikafanye naye conversation huko mbeleni hata tuki- agree to disagree tutaelewana naye atanielewa kuliko una mkosoa mtu baadae unaambulia matusi na kejeli.
hata akitukana we mpe vipande vyake,tena akitukana ndo unajua vimemuingia huyo ila anajifanya kupotezea tu..
 
Back
Top Bottom