:lol::lol::lol:
Unashangaa nini wewe hapo:lol::lol::lol:
The Finest shabiki weweee! huh
Umemuona eehhh
Anashabikia mpaka mpira kati ya Argentina ya tandale na brazil ya mbagala
Gee..unajua nimejikuta nacheka ghafla kwa jinsi NN alivyo comment....yaani kama vile kawa mpolee ghaflaThe Finest shabiki weweee! huh
Sasa mkuu unajua dah ngoja nimalizie:lol::lol::lol:Unashangaa nini wewe hapo
Hahhahahaha haya bana we endelea kushangaaGee..unajua nimejikuta nacheka ghafla kwa jinsi NN alivyo comment....yaani kama vile kawa mpolee ghafla
Sasa mkuu unajua dah ngoja nimalizie:lol::lol::lol:
kabisa mkuu..
Ila dunia hii sasa wengi hupenda kurembwa na mapambo ya makaburi .
Nikimaanisha wengi hupenda kusifiwa hata kama wanaelewa kabisa si
ya haki. hupenda kufurahishwa nafsi pasipo..
Chukulia hapa JF..
kuna baadhi wanapenda kusifiwa sana
ukimkosoa tu basi . Je wadhani haao watakuwa hawapati
faraja hizo za kusifiwa nje ya JF? kwa hiyo wanakuja hapa kutafuta
umaarufu fulani? na kuwasifia kunawatia moyo na kuwaongezea hizo faraja..?
Heheheee kweli lakini. Na wengine sasa wakishajipatia vigroupie ndo inakuwa tabu tupu! Wakimuona tu kaosha kinywa chake hao wanakurupuka kugonga vi likes na vi thanks vyao vya kinafiki. I really hate groupies, especially the blind ones.
ni hulka tu nadhani. Wengine hujiona wao hawawezi kukosea na tena ndo ukute yule mwenye dharau, yaani yeye ana watu wake amesha waweka kwenye category ya maamuma, sasa subutu yako ukamkosoa utajuta!! (watu wa aina hii wao maoni yao tu ndo sahihi wanavodhani)
Kukataa kukosolewa ni upumbuvu, muungwana hupenda kukosolewa au hata kusikia maoni ya mwingine na huwezi jua utajifunza kitu.
BUT again Lizzy, kuna watu huwa wana tabia ya kukosoa kwa 'kukatisha tamaa', hao huwa hawana nia njema!
anyways, binafsi anayenikosoa naamini ananipenda na ananitakia mema...
Bosi.. hapo vidole vinakagaje..?Watajijuuuuu........watasonyajeeeeeeeee...
hii thread ilinipitaje???? lol
Kumkosoa mwalim inaruhusiwa? (ieleweke hapa sikusudii gaijin)
Mwalim wangu. Wa uhusiano baina ya mapenzi na gunia la mkaa.kumbe Gaijin ni mwalimu wako? Wa nini?
Inaruhusiwa hata kumkosoa hedmasta wako
Mwalim wangu. Wa uhusiano baina ya mapenzi na gunia la mkaa.
Hahaha Mbu pole kwa hiyo kazi nnayokupa aiseee.Ngoja nipunguze kukosoa.
...umeishtukia ee? nami ngoja ngoja mpaka leo hii ndio nimepata cha ku post...
Lizzy ujue kila unavyonikosoa nami ndio nazidi ku Google la kukujibu hapa...lol!