The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Nitatangaza nia soon.....very soon....TF alispecialize kwenye kuchumbia, haya mengine ni options tu.
@TF, nakuruhusu na ntakusaidia kuchumbia binti yeyote, wakati wowote, sehemu yeyote utakapomwona anayekufaa
Unajua vya Arusha nilianza utotoni vinanleta madhara makubwa ukubwani.
Kati ya yote hayo mawili hapo chini hamna hata moja, mie nilikuwa natoa pumzi tu.
Hahahaha!!! Wewe banaa wewe...Thema mathe Tunchaphe....😛hoto:
Wataji-carryHahahah. . .
Watajibebaaaa. . .
@Ngabu
Bila ya sababu ya msingi imenijia
"Wanochonga, kimpango wao
Nawachongee, tuta komaa nao"
:lol::lol::lol: Tutawapa "Hunijui Sikujui Achana Na Mimi"......:eyebrows:Hahaha. . . alafu we desh desh unajua hii ni kesi ehh?
We endelea tu.
Hapa nilipo naskiza kitu kipya kabisa cha Mzee...kinaitwa "mpenzi chokleti". Hiki ni exclusive.
Ntakununulia album.
Kumuelewa unaweza kumuelewa na then ukaacha hapo hapo usimjibu wala kureply comment zake.anamaanisha uwe unamuelewa kishindindo. Lile liafrika ndivyo lilivyo.
Kumuelewa unaweza kumuelewa na then ukaacha hapo hapo usimjibu wala kureply comment zake.
Pia hata ukiona comments zake usisome kabisa au topic yake ukaacha kuisoma au ukasoma then ukapotezea
Hahahahah Lizzy kumuelewa tunamuelewa sana na wala hakuna kitu personal hapaMuanze kumuelewa badala ya kuchukulia vitu juu juu and personal.
:lol::lol::lol:Kumbe ndo hivyo....
NN yote ni majibuKumbe ndo hivyo....