Kukosolewa. . . .

Sasa unauliza jibu?

Alafu mwacheni Maria. . . bila kusema hivyo msingehamaki na Fynest alafu nisingejua mnajua kwamba wengine wananiona.
bebii usinune, ukinuna mwenzio nitasahau paswedi ya JF.
nitaendelea
 

Hahahahaha. . .
Naomba niwadediketie wote wenye chuki binafsi dhidi ya wakosoaji.
 
Ikungulyabashashi?
Basi ulitakiwa uingie kwenye hiyo fani, tunapoteza mapato bure

 
Ngabu bana!

Hujafurahi mpaka utumbuize kwa vinanda vya rusha roho ee

Waburuze waburuzeee kisha wasafirisheeee
 
Sio siri mwanaume yeyote atataka kuwa na mke mwenye UBONGO kama wa Lizzy
Mimi sitaki kuja kuwa shangazi wa mitoto mizembe kufikiri
Maria usinivimbishe kichwa mtoto wa mwenzio. . . nisije nikaanza majigambo nikaachika buree.
 

Thema mathe Tunchaphe....😛hoto:
 
Yaani sredi inazungumzia "kukosolewa" yeye anakuja kumchumbia kaka yake, nimemripoti kwa mods

Lolz. . . Kloro ukileta ban kwenye hili lisredi sitokaa nikufagilie.Haki ya nani tena.
 
TF alispecialize kwenye kuchumbia, haya mengine ni options tu.

@TF, nakuruhusu na ntakusaidia kuchumbia binti yeyote, wakati wowote, sehemu yeyote utakapomwona anayekufaa

Yaani sredi inazungumzia "kukosolewa" yeye anakuja kumchumbia kaka yake, nimemripoti kwa mods
 
Ngabu bana!

Hujafurahi mpaka utumbuize kwa vinanda vya rusha roho ee

Waburuze waburuzeee kisha wasafirisheeee

Na jahazi halilali njiani....hapa nilipo kinanda kimekolea ile mbaya....sijui ni nani tu anayetekenya hiki kinanda...daaah
 
Unajua vya Arusha nilianza utotoni vinanleta madhara makubwa ukubwani.
Kati ya yote hayo mawili hapo chini hamna hata moja, mie nilikuwa natoa pumzi tu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…