If it floats your boat then knock yourself out. If it soothes your soul then pound it out.
i knw wapi ntakushika u will nakwambia
watu si kwamba wanataka kufanya kazi na mimi ila wanalazimika na wewe ni mtu utaingia tu.......mambo ya PRISON BREAK
Maria taratibu eheeee...hata mimi ningekuwa na kaka aliyefikia ningemdirect kwa Lizzy
Nikubembeleze?Yani ninejitahidi hivyo alafu unanitoa nishai kwa kunirudisha kwenye mada?NIMENUNA.
hata mimi ningekuwa na kaka aliyefikia ningemdirect kwa Lizzy
Jibaba sio ishu hatupeani hata coordinates kuwa wameanzisha bendi nasikia wana mnenguaji hatari anaitwa Sweetlady aka Mamaa ChomachomaHalaf umepata ratiba jibaba? kundi la segere la Husninyo na Afrodenzi litatumbuiza kwa wajanja ijumaa usiku. wameahidi vumbi litatimka.
Kamanda umeona eheee...naona anataka kuja Somalia mwenyeweUshachoka kuishi?
Jibaba sio ishu hatupeani hata coordinates kuwa wameanzisha bendi nasikia wana mnenguaji hatari anaitwa Sweetlady aka Mamaa Chomachoma
Aisee taratibu usije ukasababisha kampuni yangu ikakosa tenda ya kuleta mafuta Bongo....:eyebrows:Hehehehe. . . . we maslahi gani unalinda hapa?Au ndo ishachonga dili na Kloro?
Sio siri mwanaume yeyote atataka kuwa na mke mwenye UBONGO kama wa LizzyMaria taratibu eheeee...
Yaani sredi inazungumzia "kukosolewa" yeye anakuja kumchumbia kaka yake, nimemripoti kwa modsKamanda umeona eheee...naona anataka kuja Somalia mwenyewe
:lol::lol:Wanafanya kinyemela jibaba, hawataki JF washtuke. juzi wametoa albam mpya inakwenda kwa jina la "udokozi si kuiba" voco wamesaidiwa na King'asti
Peruzi na udadisi, itatosheleza tu.
nina smart UBONGO ila nakubali ubongo wa LIZZY IS THE BESTUshachoka kuishi?