Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,036
Siwezi ita hii as ""Groupies""?
:lol::lol::lol::lol:While we go pay the bills (commercial break) burudikeni na hiki kibwagizo…
Vipi tena…?
Msumari huo….
Msumari una nini…?
Umewachoma….
Moyoni-machoni….?
Kote koteee….
tuache masihara inategemea ukosoaji wenyewe unaletwaje na kwa wakati gani.Kweli aisee. . . Wewe ni jeshi la mtu mmoja.
i am ant-pro clouds but i only hate jamaa mmoja hapa JF nijiitalo Mohamed Shosshi.
Huyu jamaa hata aniambie 2+2=4 siwezi kumkubalia manake ana akili topr sana yaan bora nimsome mbuzi kuliko yeye
Halafu wewe mzembe habari za kumzengea Lizzy wakati haujatoa posa hata thumuni tutakushusha mshipa...endelea kucheza anga zetu...you have been warned..Kwavile mwalim gaijin yuko bize na rais wetu NN, hakuna dalili yoyote ya kupatiwa mistari ya kupongezwa ya tarabu hapa. Kwahiyo tuendelee na mada tu.
Na leo wakijileta nawachana hapa hapa mbele yako
Nadhani ni kwasababu watu hawakuelewi na wala hawajaribu kukuelewa. Wameshajenga hiyo picha ya machino na hawataki kuachia. . . kiasi kwamba hata ukisema kitu kisichobeba ubaya bado watauona ubaya.Kama yule jamaa wa juzi na swali la "we una mtoto" .
Kwavile mwalim gaijin yuko bize na rais wetu NN, hakuna dalili yoyote ya kupatiwa mistari ya kupongezwa ya tarabu hapa. Kwahiyo tuendelee na mada tu.
Na leo wakijileta nawachana hapa hapa mbele yako
Sasa hii inahusiana vipi na mada? khaa!, kweli pombe si maji.Halafu wewe mzembe habari za kumzengea Lizzy wakati haujatoa posa hata thumuni tutakushusha mshipa...endelea kucheza anga zetu...you have been warned..
Kwavile mwalim gaijin yuko bize na rais wetu NN, hakuna dalili yoyote ya kupatiwa mistari ya kupongezwa ya tarabu hapa. Kwahiyo tuendelee na mada tu.
Na leo wakijileta nawachana hapa hapa mbele yako
You hate yourself? Duh!
Mkuu hujasema, mistari "imelala" hapa, ila nakurushia kipande kimoja cha "msondo"
"Hejiokotea machakacha, kanapata mchuchu wa haja" hehehe .....Hongera Kloro kwa kupata mchuchu 😀
'm waiting for ur apology kwa hiii kejeli
Kwahiyo ndio umeamua kunikosoa si ndio eheee.....utakuwa haukatishi kitaa wewe endeleaSasa hii inahusiana vipi na mada? khaa!, kweli pombe si maji.
hata mimi ningekuwa na kaka aliyefikia ningemdirect kwa LizzyHalafu wewe mzembe habari za kumzengea Lizzy wakati haujatoa posa hata thumuni tutakushusha mshipa...endelea kucheza anga zetu...you have been warned..
hehehe mwalim we acha tu, yaani tangu nimpate Lizzy bas nacheka hata msibani.
I see .
i knw wapi ntakushika u will nakwambiaUtaisubiri sana
Mmh, true. Ukiperuzu peruzi kuhusu hiyo kitu utakiona somewhere.
Halaf umepata ratiba jibaba? kundi la segere la Husninyo na Afrodenzi litatumbuiza kwa wajanja ijumaa usiku. wameahidi vumbi litatimka.Kwahiyo ndio umeamua kunikosoa si ndio eheee.....utakuwa haukatishi kitaa wewe endelea