Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Ninachojua kukoroma ni tatizo la kiafya linalotokana na kubanwa kwa mishipa ya kupumulia,tatizo ili linatokana kulala vibaya au mishipa kujaa mafuta na hivyo hewa upita kwa taabu sana.
 
Kukoroma ni tatizo linalosababishwa na aina fulani ya homon na huwapata wenye dalili za kuwa na presure
 
Kuna sredi iko humu inaelezea kuhusu kukoroma...,
Mkuu Mzizimkavu nafkr aliitolea maelezo sawia
 
Mimi kuna siku nililala nikajivizia niskie je nakoroma ama Laah! ila sikufanikiwa, nadhani mtu pekee atakaye niambia ukweli juu ya hili ni mke wangu kama nakoroma ama sikoromi!!!
 
Ninachojua kukoroma ni tatizo la kiafya linalotokana na kubanwa kwa mishipa ya kupumulia,tatizo ili linatokana kulala vibaya au mishipa kujaa mafuta na hivyo hewa upita kwa taabu sana.

na ndo maana labda wengi wakoromao wana miili mikubwa?
 
Wakuu naomba kuuliza hivi kukoroma wakati umelala husababishwa na nini? na ni vipi unaweza kusolve tatizo hili ?

Majibu yenu ni msaada mkubwa sana
 
Mara nyingi husababishwa na kuchoka sana au kufanya kazi ngumu basi ukishachoka hapo utapiga usingizi wa millioni 3 na kukoroma..... pole sana ila dawa yake siijui looo wanakuja
 
Husababishwa na kulala. Usipolala hukoromi.

Kusolve tatizo ni kujiepusha na kulala
 
Mara nyingi husababishwa na kuchoka sana au kufanya kazi ngumu basi ukishachoka hapo utapiga usingizi wa millioni 3 na kukoroma..... pole sana ila dawa yake siijui looo wanakuja

Kama zipi hizo mkuu MankaM maana huu ni mwanzo mzuri wa kuokoa walio wengi kutokana na tatizo hili sugu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom