Kukojoa au kutoa mbegu za kiume usingizini nini tatizo?

Kukojoa au kutoa mbegu za kiume usingizini nini tatizo?

Je zinabaki katika ubora uleule?
Ukitoka kuzini nje ya ndoa ukirudi kwa mkeo km nimwelevu atakustukia maana bao litakalotoka litakua jepesi kuliko alilolizoea mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani wewe ukimpizia mkeo/mpenzi wako unampiziaga kwenye kiganja aone zilivyo?

mambo si unayatolea ndani kwa ndani huo wepesi anaushtukiaje? au na wewe unafanyaga

wanayofanya kwenye zile muvi zetu kumpizia kifuani? ayayayayaya utadakwaaaaaaaaa
 
Pole sana kwa kumpoteza Mama mkuu, Hii Kegel exercise ndio nini naomba ufafanuzi kidogo. Lakini hiyo hali ya kutoa mbegu ukiwa usingizi siyo kwako tuu tupo wengi japo siyo mfululizo hivyo kama inavyotokea kwako.
Kegel exercise sijaanza leo nafanya mara nyng maana nisimple tu ndonashangaa hali hii

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam ndugu zanguni
Kwa muda wa siku tano mfululizo nimetokewa na hali yakumwaga mbegu ZAKIUME usingizini pasipo kuota ndoto nyevu bali nikishtuka usingizini ( katika hali YA usingizi huo huo) nakuta zinatoka Tena kwa mshindo mkubwa na zinakua nyingi. Najua wengine mtasema labda nakuwa na mawazo hayo ya ngono! Hapana maana nipo kwenye maombolezo ya msiba wa marehem mama alieaga dunia mwezi huu na ningali bado nipo nyumbani kwa mama kuweka mambo yake aliyoacha sawa. Hali hi imenitisha mfano usiku waleo nimepiga bao mbili naombeni ushauri nahofia kumaliza mbegu maana zinatoka km maji bombani. UKIWEZA KUSHAURI KARIBU, UKIPENDA KUBEZA SIKUFUNGI NAZINGATIA UHURU WA KUTOA MAONI
cc mshana jr

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaitwa NYETO MEDITATION.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom