Expert Judgement
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 442
- 719
- Thread starter
- #61
Daaaah yakwako ilikua Kali Sana ungeonekana ingekua fedheaHii point Kama naikubali hivi.
Nasema naikubali kwa sababu iliwahi kunitokea kipindi nasoma sekondari Sasa tulikuwa kwenye kipindi Cha mitihani na siku hiyo tupo darasani tunafanya mtihani Kati ya physics au maths na msimamizi alikuwa ni binti mwanafunzi mwenzetu aliyetuzidi darasa moja.
Basi ule mtihani ulikuwa konki nikaumiza kichwa Sana Hadi nikajikuta napiga bao from nowhere yaani ilikuwa noma Sana maana suruali yote kwa mbele ilichafuka.
Ikanibidi baada ya mtihani kumalizika nikatoka kwa kuvizia ili asinione mtu yeyote kuwa nimechafuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app