Najitolea kutoa bure mbegu za Kiume kwa wale wanawake ambao wamekosa kizazi au hawashiki mimba

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Heshima kwenu wakuu,

Leo nmeguswa sana na Ibada fulani ilokuwa inaendelea kwenye TV. Mama alikua analalamika kwamba anatamani mtoto lakini imeshindikana kupata mtoto. Roho imeniuma sana.

Nikaona nijitolee kutoa mbegu za kiume kama ninavyojitolea damu Hospital. Sihitaji hela yoyote. Just wewe kama una mpango wa kupandikizwa mbegu za Kiume Hospital na unakosa mbegu, just nitumie meseji kwenye inbox yangu.

Mwanaume kwa mshindo mmoja anaweza akatoa mbegu zaidi ya Milioni moja. Hivyo hata mkija watu laki 2 nyawahudumia vizuri kabisa.

Kupata mimba sio lazima utembee na mwanaume, unaweza ukapewa mbegu na ukaenda hospital ukapandikizwa.

Uchungu wa kukosa mwana unauma sana. Kama unaweza kupandikwa mbengu hospital karibu. Mbegu zangu utapata ila tu uwe maeneo ya Dar.

Na kama utafanikiwa kupata mtoto kama mimi utafurahi sana sababu mimi ni mbegu bora kabisa.

Kimbuka hii ni bure. Mungu awape moyo wa Uvumilivu wote mnaotafuta watoto bila mafanikio.

Sina Masharti wala Vigezo.

Nitumie email kupitia figganigga@JamiiForums.com
 
he

hahaha wacha uongo wako... nikikukamataa
 
Hebu weka picha. Maana watoto wanaozaliwa nje ya ndoa wanakuwaga kopi za baba zao.
Mimi nasaidia tu. Kwani anayetaka kakwambia nimpe picha yangu? Basi aje inbox. Au unataka mbegu?
 
Back
Top Bottom