Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

Kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi ni kwa vigezo gani Mungu aliamua kuwaweka katika kundi moja la uovu wale Wanafiki, Waongo na Wafiraji na zote kupangiwa adhabu ya aina moja. Sisi kwa akili zetu tunaamua kuchagua moja kuwa ni dhambi kubwa zaidi ya nyingine halafu hiyo hiyo kubwa kwa Unafiki wetu ndiyo inaongoza kutendwa sirini huku ikikemewa kwa nguvu zote hadharani.
Ili kujua mantiki ya dhambi hizo kuwekwa kundi moja na kuwekewa adhabu ya aina moja inabidi usubiri ya kukute haya ya uongo na unafiki, au angalia yanayoendelea kwa jinsi Lissu anavyo shutumiwa.
 
Meku ulitaka hao wazungu waite press conference wakutangazie kwamba wanamhudumia Lissu? Wewe huwa unaamini kila ambacho hakisemwi basi hakipo??

Tunachotaka Mungu amponye Lissu na waliompiga risasi watiwe nguvuni... Hizi kombolela zingine hazina maana
Nani awatie nguvuni?
 
..hata NELSON MANDELA aliitwa GAIDIakafungwa miaka 25+.

..Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere nadhani naye alihukumiwa kwenda jela au kulipa faini.

..Watetezi wa kweli wa haki za wananchi hupitia matatizo mengi ktk harakati zao.
 
Dhambi walioifanya CCM haitawaacha Salama,kuna siku wataelewa ule msemo wa wahenga "Mkuki mtamu kwa ngurue,kwa binadamu mchungu" watayaonja tu hayo machungu
 
Ukitaka Polisi wake within a minute kwenye tukio sema umeona T-shirt za Pray4Lissu watakuja kama sisimizi kwenye sukari
 
Meku ulitaka hao wazungu waite press conference wakutangazie kwamba wanamhudumia Lissu? Wewe huwa unaamini kila ambacho hakisemwi basi hakipo??

Tunachotaka Mungu amponye Lissu na waliompiga risasi watiwe nguvuni... Hizi kombolela zingine hazina maana
Lisu alieleza tofauti kati yake na mwenyekiti wa CCM mnapozungumzia maslahi ya nchi katika mali ya asili hasa madini. Ulimwelewa? Hapa hakuna kombolela bali kuna hoja kwamba maCCM yamekuwa yakiwapotosha wajinga yanapomzungumzia Lissu na ulinzi wa maliasili za nchi!
 
hahahahaaaaaa!!! umenichekesha kweli!!! mwanasiasa mfanyabiashara unamfahamu kweli??? Komba yule wa CCM alipata mapresha kwa sababu alikuwa akidaiwa benki wakataangaza kuuza mali zake!! alihangaika sana kupata hela serikalini na kwa marafiki zake .Nasikia alikuwa pro Lowassa !! mbona Lowassa hakumpa hela hiyo??
ngoja nikuambi kitu wewe,mh sumaye naskia ana mipesa huko CRDB,ebu muulize amechangia kiasi gani katika matibabu ya LISSU!! LOWASSA ni tajiri wa kutupa ana shea nyingi VODAKOM.Yani ni seme kuwa chadema ina mitajiri mingi humo ndani!! kuomba mdhamini from ccm ni aibu kwa chama kabisa!!1
 
Inasemekana ni chokochoko za uchaguzi CHADEMA, channel moja ya Kenya wajadili hivyo leo
 
Kuna waovu waliochonga Maneno ya Visa sana ati Tundu Lissu alikuwa anahongwa na Acacia ili kuitetea. Masikini alikuwa akielezea Mtazamo wake tu Kuwa Approach aliyotumia Magufuli itaweza Kusababisha Nchi Kushitakiwa.

Wabunge wa CCM sio wote nao ati wakaanza Kuwazomea Upinzani Kuwa ni mafisadi au Wasaliti ati wao CCM ndio wakombozi wa Nchi! What a joke!

Anyway Nachotaka Kuuliza Hapa ni Kuwa, Kama Tundu Lissu alikuwa Akihongwa na hao Wazungu wa Acacia inakuwaje fedha hizo Mkewe au Chadema hawakuzitoa kukodisha ndege! Yaani Dola 9000 tu walikuwa Hawana. Na hao chadema kama wanahongwa na Acacia mbona hao akina Acacia hawakujikeza kumlipia Tundu Lissu matibabu? Utamwacha mtetezi wako afe?

Hila za Kusingizia watu Wazalendo kuwa ni Wasaliti na Wasaliti kujiita Wazalendo! Mungu anaona. Tundu Lissu hata kama alikuwa ni Bombastic in communication, Alikuwa ni Mtanzania mwenye roho nzuri sana na Mzalendo. Alichotendewa. Malipo yatatolewa kwa laana ya Ajabu kwa Wahusika.
Wewe una chuki binafsi. Lisu alihongwa na alikuwa mnafiki na ataendelea kuwa mnafiki namba kwa kuwadanganya watu wake. Ni mla rushwa
 
Kiboko yenu T-shirt za Pray4 Lissu.

Poleni sana miaka 55 Chama Cha Mauaji/Mazingaombwe kimeweza kuwekeza kwenye Utekaji,Utesaji,Mauaji,Rushwa na Ufisadi.

Aibu miaka 55 ya Uhuru Tanzania masikini kila siku heri ya jana halafu anakuja na motive JPM abaki kosa Njaa.
Haa mmeshaanza biashara ya fulana? Karma haitowaacha
 
Kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi ni kwa vigezo gani Mungu aliamua kuwaweka katika kundi moja la uovu wale Wanafiki, Waongo na Wafiraji na zote kupangiwa adhabu ya aina moja. Sisi kwa akili zetu tunaamua kuchagua moja kuwa ni dhambi kubwa zaidi ya nyingine halafu hiyo hiyo kubwa kwa Unafiki wetu ndiyo inaongoza kutendwa sirini huku ikikemewa kwa nguvu zote hadharani.
Ili kujua mantiki ya dhambi hizo kuwekwa kundi moja na kuwekewa adhabu ya aina moja inabidi usubiri ya kukute haya ya uongo na unafiki, au angalia yanayoendelea kwa jinsi Lissu anavyo shutumiwa.

Ni aibu kutaka kumuua mtu anayekosoa tu utendaji wako hana hila wala was.

Majibu ya Lissu kuna watu watajuta kumfahamu.Ngoja apone ndilo tumwombalo Mungu.

Unapoona Polisi wanahangaika na T-shirt basi ujue kuna shida mahali kuna watu hawafikirii zaidi ya pia zao.
 
Yaa Na hiyo! Tuliambiwa Lowassa ni Fisadi, ana Maviwanda! Mbona hamtibu Lissu? Tuliambiwa Manji kakamatwa na Vitu vya jeshi! Juzi wamemwachia bila mashitaka, utamwachia mtu aliyekutwa na mihuri na maelfu ya nguo za jeshi bila mashitaka? Niliambiwa walimbwagia hayo mavitu na Walikuwa wanamkomesha na kumtisha asijetena kamwe awaze kumsaport Lowassa!
Kingine nilimuuliza Ndugu Mmoja, Nikamuuliza, Ujue Lowassa Nilimsaport kwa Malengo makubwa ila sina Uhakika kama alikuwa ni Fisadi kweli au La! Yule bwana akanijibu, Lowassa sio fisadi hata kwa asilimia 1% na huyu ndugu ni Waziri wa CCM!

aliyesema kuwa LOWASA NI FISADI NI NANI si TUNDU LISSU NA CHADEMA YENU/?????
 
Lisu alieleza tofauti kati yake na mwenyekiti wa CCM mnapozungumzia maslahi ya nchi katika mali ya asili hasa madini. Ulimwelewa? Hapa hakuna kombolela bali kuna hoja kwamba maCCM yamekuwa yakiwapotosha wajinga yanapomzungumzia Lissu na ulinzi wa maliasili za nchi!
Sio lazima utukane watu maana kukubaliana na mtazamo wa Lisu sio lazima pia. Ukweli kwenye hizi issue wazungu hawatoboi bila kucheza na locals. Congo, SA, Botswana n.k ndio game plan yao. Msijione mna akili sana.
 
Think tank ya ccm ni Lusinde,hapo unategemea nini?
 
Haa mmeshaanza biashara ya fulana? Karma haitowaacha

Baada ya nyie kuendeleza Biashara ya Mauaji,utekaji na utesaji.

Ungekuwa kweli unajua Mungu ungeenda kusoma bibilia ujue nini maana ya Mbingu na mema.

Ila kwa vile mnafikiri CCM ina Mbingu siku ukija kujua uliharibu duniani na kuna maisha baada ya dunia hii ndipo Italia na Kusaga meno.Nakuonea huruma wewe ni wa kusamehewa tu.
 
Nina Mashaka na Wewe Unachofanya hapa! Maana nashidhwa kuelewa hoja yako nini hasa, na Katika Kunijibu hivi lazima una lengo fulani, Je ni lengo la Kusisitiza uwongo kuwa Tundu Lissu alihongwa lakini Mke wake akaamua asizitumie hizo fedha kumpeleka Nairobi? Does it make sense? Unamwakilisha nani hapa by the way? Je ni kweli unataka Tundu Lissu apone? U don't sound so!
Tundu Lissu anaweza akawa amehongwa. Sasa cha Mke wake kuamua asizitumie hizo fedha kumpeleka Nairobi, inawezekana hela hiyo Lissu hawakumwekea kwenye benki zetu wameweka nje! Maana kwene mabenki ya hapa si serikali itajua na kuuliza Lissu kazipata wapi? Hivyo kama ziko nje siyo rahisi kuzipata haraka kulipia jambo la dharura kama lile. Hivyo hoja yako haiwezi ikawa proof kwamba hakuhongwa. Vivyo hivyo kwa Chadema. Na mkewe anaweza asiwe signatory wa kuweza kuachiwa hela kutoka benki. Mimi nataka Lissu apone.
 
Back
Top Bottom