Kukimbiza Mwenge kila mwaka kuingiza Serikali gharama zisizo na tija

Kukimbiza Mwenge kila mwaka kuingiza Serikali gharama zisizo na tija

evangelical

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
5,970
Reaction score
9,898
Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.

Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi wengine kikawaida kama ma DC,wabunge, RC, VP.

Hizo gharama zinazotumika kukimbiza tu Mwenge zinawezafika 20 to 30 Milion kila wilaya na Tanzania kuna Takribani wilaya 180 x 20,000,000 =3,600,000,000 hapo hujaweka gharama za kitaifa za kuwasha na kuzima mwenge karibia bilion 3 kuzima 3 kuwasha.

Huu Mwenge kila Mwaka unatafuna bilion 10 kwangu naona nazo zifanywe hazina tija

Leo hawa wajinga na limwenge wao wametupotezea muda na limwenge lao wametoka nalo Airport. Tulikuwa tunapita kule
Hivi linapandishwaga Ndege hili litakataka
 
Katika repoti ya cag itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.
Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi wengine kikawaida kama ma DC,wabunge, RC, VP.
Hizo gharama zinazotumika kukimbiza tu Mwenge zinawezafika 20 to 30 Milion kila wilaya na Tanzania kuna Takribani wilaya 180 x 20,000,000 =3,600,000,000 hapo hujaweka gharama za kitaifa za kuwasha na kuzima mwenge karibia bilion 5.
Leo hawa wajinga na limwenge wao wametupotezea muda na limwenge lao wametoka nalo Airport. Tulikuwa tunapita kule
Hivi linapandishwaga Ndege hili litakataka
Kweli kabisa mkuu. Kuna vitu havina mantiki kabisa
 
Kwa nini mradi ukikamilika usianze kutumika tu. Kupoteze pesa na muda bila sababu nzuri
Ni Africa tu na nchi za watu masikini utaona hela zinapigwa kwa njia hizi
Mbona majuu tunaona kawaida, bila kuitana na kuonyesha miradi?

Jana london wamefungua tunnel mpya iliyikamilika kwa gharama ya £2.2b limeanza kutumika kwa kulipia.

Ila hatukuona sherehe na mbwembwe zozote
 
Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.

Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi wengine kikawaida kama ma DC,wabunge, RC, VP.

Hizo gharama zinazotumika kukimbiza tu Mwenge zinawezafika 20 to 30 Milion kila wilaya na Tanzania kuna Takribani wilaya 180 x 20,000,000 =3,600,000,000 hapo hujaweka gharama za kitaifa za kuwasha na kuzima mwenge karibia bilion 3 kuzima 3 kuwasha.

Huu Mwenge kila Mwaka unatafuna bilion 10 kwangu naona nazo zifanywe hazina tija

Leo hawa wajinga na limwenge wao wametupotezea muda na limwenge lao wametoka nalo Airport. Tulikuwa tunapita kule
Hivi linapandishwaga Ndege hili litakataka
Mwendazake alitaka kuususia mwenge kilichomkuta hata hakumaliza muhula wale kuna maagano nchi imeyaingia hakuna mwenye mamlaka ndani ya hii nchi anaweza kuyaacha.. usifikiri na wao wanapenda muda mwingine hawana namna na wao pia wanapenda kuishi kama wewe.
 
Yaani jamaa wewe daaah. Mwenge ni kitu muhimu sana katika taifa na uchumim so ni b3 tu ndio zinapotea au sio.
Basi leo nikueleze, na uendelee au uanze kuhudhuria kama unajiona una uhuru au ww maskini katika nchi yako. Na usilete mifano ya wengine nasema wewe.
Mwenge unachochea Maendeleo ya Miradi ya Kijamii na Kiuchumi, unapopita katika mikoa mbalimbali, unazindua, ukagua na kuweka jiwe la msingi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo kama vile shule, zahanati, barabara, miradi ya maji, na nishati. Hii huongeza uwajibikaji na kasi ya utekelezaji wa miradi, Kuimarisha Umoja na Mshikamano, Mwenge huunganisha Watanzania kutoka sehemu mbalimbali bila kujali dini, kabila au rangi. Huu ni mfano wa kusherehekea umoja na amani ya kitaifa.
Elimu pia, Wakati wa mbio za mwenge, ujumbe mbalimbali wa kitaifa hutolewa kuhusu masuala ya afya (kama UKIMWI, malaria), mazingira, rushwa, na uzalishaji wa ndani. Hii huongeza uelewa kwa jamii.

La mwisho Kuhamasisha Vijana Vijana ndio wakimbiza mwenge na wanapata fursa ya kujifunza uongozi, uzalendo, na uwajibikaji, jambo ambalo huandaa kizazi kipya cha viongozi wa baadaye.
Sasa waone watu wapuuzi wanakimbizi mwenge. Wakina asas humo ndio wanatafuta tender. Sasa wewe hisi tenda za kuuza maziwa.
 
Kwa nini mradi ukikamilika usianze kutumika tu. Kupoteze pesa na muda bila sababu nzuri
Kuna miradi mingine ya hovyo sana inafunguliwa na huu mwenge just kulazimisha miradi.
Kuna wilaya nilipita nikakuta club ya pombe za kienyeji eti inajiwe la msingi mkimbiza mwenge.
Sasa nauliza naambiwa wakati inazinduliwa ilikuwa bar mradi wa.mjasiriamali sasa kalost kaigeuza club ya pombe za kienyeji kapangisha wamama wanauza wanzuki
 
Mwendazake alitaka kuususia mwenge kilichomkuta hata hakumaliza muhula wale kuna maagano nchi imeyaingia hakuna mwenye mamlaka ndani ya hii nchi anaweza kuyaacha.. usifikiri na wao wanapenda muda mwingine hawana namna na wao pia wanapenda kuishi kama wewe.
Maagano Gani wewe acha mikwala mtu mweusi akili zero
 
Back
Top Bottom