Ahahahaha! Tanzagiza
Amani ipi?Tunza amani iliyopo,
Tunza amani iliyopo
Tunza amani iliyopo
Had play store na appstore hakuna kituHata youtube wamekata
Aman kweny njaa ni saw na shibe kweny vitaTunza amani iliyopo,
Tunza amani iliyopo
Tunza amani iliyopo
Na ndio maana tumekua wajinga munatuburuza hatuna cha kufanyaNyie watoto wadogo
Hamjui thamani ya amani, Kwasababu mmezaliwa kwenye amani
Amani ipi?
Amani ya wananchi masikini kunyimwa kujengewa miundombinu ya maji na barabara kisa wamemchagua Lissu?
Amani yaenda sambamba na haki. Nini kinafichwa?Nyie watoto wadogo
Hamjui thamani ya amani, Kwasababu mmezaliwa kwenye amani
Ni kweli kuwa UN wameamua kumiongezea ulinzi Lissu?
Amani yaenda sambamba na haki. Nini kinafichwa?
Kama kweli hii habari njema kabisa👍🏼Ni kweli kuwa UN wameamua kumiongezea ulinzi Lissu?
Kura ya mapema ilivopigwa Zanzibar leoView attachment 1614032View attachment 1614034
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app