Kukatwa matangazo ya BBC kwenye channel ya Star Tv

Vyombo vya magharibu, kazi yao uwa ni kusema mabaya ya bara letu tu, wala si mema.
Natumaini maelekezo yametimia
 
Lisu kasema wamesharipoti icc sasa wanakusanya ushahidi hivyo wanabania kaupenyo kakumourn mauaji
 
Star TV wajinga sana

Walipoona BBC inaanza rusha Habari ya Mauaji Pemba wakakata matangazo

Wamerudisha baada ya habari hiy kuisha.

Ivi hawa BBC hawana mikataba ???
Mikataba wakati wao wenyewe wanataka airtime..........wanafanyiwa kama feva tu kwanza
 
Leo naandika kwani niko kimya sana lakini Star TV hawapendi hoja ya Pemba isikike pia ITV waliikata Aljazera
Haya ni maelekezo ya nani?

Maana now si facebook wala youtube
Ahsante serikali
Nahisi wameshapewa semina elekezi... penye habari zinazohusu ukweli wa kinachoendelea nchini wasikirushe hewani...je kulikuwa na sababu gani kuikatiza ile habari kutoka BBC? mm mwenyewe nlikuwa nafwatilia matangazo ya BBC dira ya dunia kupitia Chanel ya Star TV... Mara baada ya kidokezo cha ile habari ya Zanzibar kuanza wakakata... why?
 
Wanaogopa faini / kufungiwa mkuu😂😂😂
Nilicheka sana nilivoshtukia hii kitu
 
Back
Top Bottom