Kukatwa matangazo ya BBC kwenye channel ya Star Tv

Una uhakika UN wanaweza kufanya kazi ya kumlinda Mgombea wa siasa wa nchi fulani?.

...
Kama hali ya ulinzi iko mashakani, angeweza pia kuomba hifadhi Ubalozi wa nchi yeyote mpaka baada ya uchaguzi.

Kama social media zimezimwa, anaweza kutekwa tusijue.
 
Umeshiba Amani.

Kumbuka wanaume wanalala nje, wanakufa ili Nchi ibaki salama

Usifanye utani na amani
Wenye kutambua hili wachache Sana. Walibahatika walau kusikia BM zikiunguruma huwa tunasikitika sana mtu anayeisemea kejeli amani.
 

Attachments

  • Wanawake+Tz%2C+WEUSIi+na+WEUPE++wana+akili+kama+wanaume._+_point_right_type_5_Wanatambua+Watz+...mp4
    683.5 KB
Star TV wajinga sana

Walipoona BBC inaanza rusha Habari ya Mauaji Pemba wakakata matangazo

Wamerudisha baada ya habari hiy kuisha.

Ivi hawa BBC hawana mikataba ???
ukifikiria unaweza kucheka walivyo wapumbavu,
unakata matangazo ambayo yamesharushwa dunia nzima inajua na watanzania wanajua kua mauaji yametokea zanzibar
 
Nani ameua ?
hao mliowaua huko zanzibar ni wanyama au ...na mitandao mmezima
narudia kusema matokeo yake mtayaona kwenye sanduku la kura ..mwaka huu Mungu atainua mkono wake na hakika Lissu anaenda kukaa kwenye kiti cha urais
 
Back
Top Bottom