Kingine uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia huo muonekano mbwembwe tuuu angalia ulipopendwaAsante kwa ushauri wako Mkuu, nimeupenda.
Au unaonaje jombaaShukrani sana braza.
Mm zaid bae wangu wa ukweliSi unajua vyenye nimekumis
Alafu baby vacation hii inabidi nauli ya ndege ulipie wewe, manake akina Behaviourist wameshaanza manenoMm zaid bae wangu wa ukweli
Uzuri wa mwanamke uko machoni mwa mtazamaji, na uzuri wa mwanaume ni kumiliki pesa na vitega uchumi. Kama wewe ni kapuku utaishia kuwaita shemeji, na utapata wale mnaofanana kiuchumi, au hujui kuwa ndege wafananao huruka pamoja??
Jibu liko kwenye signature yako.Asante Mkuu.
maneno kuntu sana hayaUshauri wa bure ukipata mwanamke au msichana ataekupenda sana kijana usimuache uyo ndo ukiishi nae mtadumu hata ndoa ukitaka ayo ndo mapenzi .Ila kama unataka kustaajabu ya musa we endelea kupenda usipopendwa kamwe huendelei sana utaishia kutoa kila ulichonacho au pesa umgharamie atulie lkn unatwanga maji kwenye kinu bro
Ushauri gan huo....hebu ni PM na mm Junior BossUkipata msichana mzuri nione PM
kuna kitu nataka nifanye
sasa ntampima nitakacho kushauri kama kinafaa
kuna member anaitwa Papizo niliwahi mshauri akasema ushauri umemsaidia


ucjali bby you choose the right coupleAlafu baby vacation hii inabidi nauli ya ndege ulipie wewe, manake akina Behaviourist wameshaanza maneno