secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,413
- 49,544
Nadhani watu wanaotumia upweke wao vyema ndio wanaweza kubuni au kugundua vitu vipya.
Tofauti kabisa na mtu ambaye yuko kijiweni anabishana tu kuhusu mechi ya kesho ya Simba na Yanga.
Tofauti kabisa na mtu ambaye yuko kijiweni anabishana tu kuhusu mechi ya kesho ya Simba na Yanga.