1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,130
- 2,485
Ertugrul Bey Heshima ako 🙏Nimeipenda hii
Ertugrul Bey Heshima ako 🙏Nimeipenda hii
Asante sana mkuu,tupo pamoja,hii thread umeitendea haki,comments zako zote nimezielewa,ndio maana nikaona hapana nisipite kimya kimya bila kuweka mhuri hapaErtugrul Bey Heshima ako 🙏
Kwahiyo unaamini Mimi na wewe tunaweza kuwa suluhisho la upweke wa Kila mmoja?Karibu PM rafiki, tuwe na kampani pamoja tuondokane na huu upweke…
Nashukuru sana mkuu 🙏 Heshima ni kusikilizana na kujifunza kutoka kwa mitazamo tofauti. Muhuri wako nimeupokea, tupo pamoja sana mkuu 🤝Asante sana mkuu,tupo pamoja,hii thread umeitendea haki,comments zako zote nimezielewa,ndio maana nikaona hapana nisipite kimya kimya bila kuweka mhuri hapa
Nina matumaini hayo… huenda wazo hili likafanya kaziKwahiyo unaamini Mimi na wewe tunaweza kuwa suluhisho la upweke wa Kila mmoja?