Yaani ww ni Mbege kweli. ..wala si kidogo.
Sina tabia ya kukejeli thread ya mtu ,ila hii yako imenishika Kooni.. kila nikiwa naangalia thread nyengine nakumbuka hii .
Nikaona si mbaya kutoa la moyoni .
Still naendelea kukuambia hukujipanga kukaa na mke ww.. kama ulikua tayari haya maswala ua ndoa yako yasingefika huku .
Ukweli unauma najua lakini kiukweli umekosea tena saana .
Kama unaona upo ryt ,nenda kwa mkeo au kwa mtu mzima unayemuamini , mwamnbie umeshindindwa kutoa maamuzi kwenye Familia yako na umeamua kuomba ushauri huku JF. {atakavyokujibu utajipima kama nnachoongea ni uongo.}
Shame on You , weak Husband . Shaaame .
mi ndo maana nimewatimua wote nimebaki na wa kike tuu, ambao wana msaada hata kwenye tuta..! na hata kama wi hayuko wao huokoa jahazi
Kwani we umeoa?
Stop complicating.Mleta uzi si kama hajafanya jitihada,halafu watu si wajinga kama ufikiriavyo na binafsi sioni aibu hapa unayoizungumzia.By the way nini maana ya uwepo wa hili jukwaa? Vitu vingine muwe mnawaza kabla ya kupingana navyo jamani
Naunga mkono 100% hoja hii,hili ni jambo dogo sana pia halihitaji hata ushauri wa jf.
Unaonekana wazi ni mkongwe kwenye ndoa sasa ni vzr ukakaa na Mkeo mkaongea na mambo yakawa kama zamani vile.
Mbona kama naona manyoya?......
nilishaongea nae mara kibao ila nikizungumzia swala hili la nduguye huanza kulia na kununa ndio mana nawashirikisha weeeeee