Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
kwanza huyo shemeji yako uliwahi kutambuliswha hapo awali?i mean unamjua kama shemeji yako tokea siku nyingi au ameibukia from nowhere?maanek isije ikawa ni mume mweznio maanake huo ukarbi sasa hapana ni too much,
Usikimbilie kuwaza hivyo. Huwezi jua wamelelewa katika mazingira gani.
Labda walipitia magumu huko utotoni so dada anawaza huu ni wakati muafaka wa kumfariji mdogo wake kwa kuwa karibu nae na kumjali.
Jamaa apunguze tu wivu.