Kukaa na mashemeji

Kukaa na mashemeji

usemayo ndg ni kwel. hawa ndg kila mtu anatabia zake. sio lazma uish naye. mimi nipo na bint, mdg wa mke wangu. napata shida mno. kuwa muwazi kwa mkeo na mweleze usiyoyataka. ww ndio mwenyefamilia. so lazma ufaham kila kitendekacho. mkanye mkeo kwani wewe ndio kichwa cha familia. ikishindkana mwondoe na sio lazma umsaidie akiw kwako. pia mweleze waz shemejio il ajue afanyacho si sawa
 
Yako mazuri na mabaya utakayoambiwa hapa kuwa mwangalifu kubainisha yenye kuweza kujenga familia yako.

Hapa Jf ushauri mwingi ni wa uongo tu inahitaji umakini sana kuutumia
 
Wana JF, ushauri unahitajika. Nimeoa kwa muda wa miaka 7 sasa mke wangu ni kutoka kanda ya ziwa, kwamuda wote huo sikuwahi kukaa na ndugu wa mke wangu hata mmoja zaidi ya mimi kuwatembelea wao kuko kwao na kurudi. Hivi karibuni amekuja mdogo wa mke wangu mwanaume yeye hajaoa na hana kazi.

Ni muda wa miezi mitatu sasa yuko kwangu na nilitegemea kuja kwake ni kwa muda tu kusalimia na kuondoka. Hivi sasa nimekuwa nikikwazika sana hasa baada ya kuzoea hapa nyumbani kwangu, kwanza nirudipo nyumbani namkuta yuko jikoni na dada yake wanapiga stori muda wote hata siku nikiwa sijaenda kwenye misele kutwa ni yeye na dada yake tu.

Pili mke wangu amekuwa akifanya mambo mengi naye bila kunishirikisha kabisa mfano, amemtafutia kibarua mahali bila mimi kujua, na shemeji mwenyewe hayawahi kuniambia, tatu anaweza akaondoka kwenda kwa jamaa zake wengine wa kutoka kwao waliopo mji ninaoishi na kulala huko bila hata ya kuniaga mimi ni dada yake tu. Nne amekuwa akitoa amri hata kwa watoto wangu na dada wa kazi kwa kuwakoromea.

Mke wangu kwa sasa hana mda na mimi kabisa ni yeye na mdogo wake tu, hata chakula anaweza akapewa yeye kabla hata ya watoto na hata mimi pia. Jamani hiii imekaaje, au ni mimi mwenye tatizo? Ninampango wa kumwambia huyu shemeji aende zake alikotoka.

Semeni waungwana

Kaka dont waste further time, mfukuze huyo jamaa haraka sana!
 
Hiyo ni syndrome ya waliowengi toka kanda ya ziwa. Huwa hawatembelei kwa wiki au angalau mwezi wanaweza wakakaa hata mwaka! Tena bora huyo yuko single angekuwa kaoa angekuja na mke na watoto na wangekaa zaidi ya miezi 3! Naongea kutokana na experience.

angekomaje
 
Wana JF, ushauri unahitajika. Nimeoa kwa muda wa miaka 7 sasa mke wangu ni kutoka kanda ya ziwa, kwamuda wote huo sikuwahi kukaa na ndugu wa mke wangu hata mmoja zaidi ya mimi kuwatembelea wao kuko kwao na kurudi. Hivi karibuni amekuja mdogo wa mke wangu mwanaume yeye hajaoa na hana kazi.

Ni muda wa miezi mitatu sasa yuko kwangu na nilitegemea kuja kwake ni kwa muda tu kusalimia na kuondoka. Hivi sasa nimekuwa nikikwazika sana hasa baada ya kuzoea hapa nyumbani kwangu, kwanza nirudipo nyumbani namkuta yuko jikoni na dada yake wanapiga stori muda wote hata siku nikiwa sijaenda kwenye misele kutwa ni yeye na dada yake tu.

Pili mke wangu amekuwa akifanya mambo mengi naye bila kunishirikisha kabisa mfano, amemtafutia kibarua mahali bila mimi kujua, na shemeji mwenyewe hayawahi kuniambia, tatu anaweza akaondoka kwenda kwa jamaa zake wengine wa kutoka kwao waliopo mji ninaoishi na kulala huko bila hata ya kuniaga mimi ni dada yake tu. Nne amekuwa akitoa amri hata kwa watoto wangu na dada wa kazi kwa kuwakoromea.

Mke wangu kwa sasa hana mda na mimi kabisa ni yeye na mdogo wake tu, hata chakula anaweza akapewa yeye kabla hata ya watoto na hata mimi pia. Jamani hiii imekaaje, au ni mimi mwenye tatizo? Ninampango wa kumwambia huyu shemeji aende zake alikotoka.

Semeni waungwana

Mijitu mingine bwana sasa ishu kama hii we unashindwa kuisolve mpaka uilete jf?
 
acha kumuendekeza mwanamke kiasi hiko,! yan wewe unatishiwa na machoz!! machoz kwa mwanamke ni kawaida kwahiyo wewe fanya unachopaswa kufanya kama baba. Na Siyo kuja kuanika matatizo yako hapa..!!!
 
Wana JF, ushauri unahitajika. Nimeoa kwa muda wa miaka 7 sasa mke wangu ni kutoka kanda ya ziwa, kwamuda wote huo sikuwahi kukaa na ndugu wa mke wangu hata mmoja zaidi ya mimi kuwatembelea wao kuko kwao na kurudi. Hivi karibuni amekuja mdogo wa mke wangu mwanaume yeye hajaoa na hana kazi.

Ni muda wa miezi mitatu sasa yuko kwangu na nilitegemea kuja kwake ni kwa muda tu kusalimia na kuondoka. Hivi sasa nimekuwa nikikwazika sana hasa baada ya kuzoea hapa nyumbani kwangu, kwanza nirudipo nyumbani namkuta yuko jikoni na dada yake wanapiga stori muda wote hata siku nikiwa sijaenda kwenye misele kutwa ni yeye na dada yake tu.

Pili mke wangu amekuwa akifanya mambo mengi naye bila kunishirikisha kabisa mfano, amemtafutia kibarua mahali bila mimi kujua, na shemeji mwenyewe hayawahi kuniambia, tatu anaweza akaondoka kwenda kwa jamaa zake wengine wa kutoka kwao waliopo mji ninaoishi na kulala huko bila hata ya kuniaga mimi ni dada yake tu. Nne amekuwa akitoa amri hata kwa watoto wangu na dada wa kazi kwa kuwakoromea.

Mke wangu kwa sasa hana mda na mimi kabisa ni yeye na mdogo wake tu, hata chakula anaweza akapewa yeye kabla hata ya watoto na hata mimi pia. Jamani hiii imekaaje, au ni mimi mwenye tatizo? Ninampango wa kumwambia huyu shemeji aende zake alikotoka.

Semeni waungwana

Kaka hayo mambo yapo sana especially kwa watu wa huko kwetu kanda ya ziwa. Chakufanya ni kuanza kudili na shemeji yako kwanza. muite faragha ongea naye na uwe na maamuzi ambayo pengine yatamkera hata mkeo. Kama unaamini ni shemeji yako wa kweli, mueleze msimamo wako hapo nyumbani na usimamie kweli kweli.
 
Ndugu,fanya kama nilivyofanya mimi miaka miwili ilopita,wakiwa pamoja sebuleni na wewe ndo unaingia toka kwenye mihangaiko yako,waambie wazi wakiwa wote kwa hekima na kuwakosoa kasolo zao kama ulivyosema hapa,akija mkeo chumbani kwa hasila au kwa kulia vile vile usimlazie damu,fanya hivyo hata kama wakwe zako wapo isipokua zungumza kwa maneno ya heshima lakini yenye kumuingia mtu,wasipobadilika endelea mala kadhaa na utakuja sema hapa kilichotokea,maisha hayo ya ndugu kutoka tu atokako na kukuletea mzigo yameshapitwa,hali ya maisha imebadilika sana!
 
Mbege wewe unatutia aibu wanaume,ukiwa baba unapaswa kuwa na sauti kwa nyumba yako...huyo mtoto mdogo unamlisha wewe na anajua dadake unamkanyagaa,hebu mwambie...acha uzoba...
 
Last edited by a moderator:
Mi mwenyewe mtu wa kanda ya ziwa ni kweli kabisa ndg zetu wakifika huwa hawaondoki mapema ni kwa sababu ya umbali make sio km Tanga waja leo warudi leo, upande wa pili ndg zetu hawapendi kukaa bila kazi, kama mkeo kamtaftia kibarua kuna tatizo gani cha msingi kama una uwezo mpe mtaji akapange chumba na akajitegemee, kukujali kwa mkeo ni tatizo lake usilihusishe na mdogo wake hapo utachanganya madesa! Mtreat mkeo kama mkeo na shemeji kama shemeji, kama watoto wanafanya makosa ana haki ya kuwakanya kama mtu yeyote anaekerwa na tabia mbaya hata asingekuwa mjomba wao! Kuweka mipaka kwa shemeji yako ni sawa lakini naona ww unasumbuliwa na wivu tu eti wanakaa jikoni wanapiga stori mara chakula anapewa wa kwanza hayo ni ya kawaida na unaweza kuyamaliza papo hapo, kama kuna house girl yy anaenda jikoni kufanya nn?kwa kanda ya ziwa ni mwiko mtoto wa kiume kwenda jikoni kama wanawake wapo!
 
Back
Top Bottom