Bunge la mishahara, fullstop.Hakuna bunge hapo hilo ni genge la wahuni tupu
Majangili tupuBunge la mishahara, fullstop.
Sasa wanamdanganya nani ?! Au wao wenyewe !!Kufuatia kuibuliwa mahakamani kwa barua ambayo inadaiwa iliandikwa na Job Ndugai aliyekuwa spika wa bunge kwenda kwa Katibu wa Bunge ikimtaarifu kuwa anajiuzulu uspika kuanzia tarehe 06.01...
Unajua ndio kipimo cha watu wanao tuongoza, hajafanya makusudi ila ni kwamba hajui utaratibu.Wamefuta kwa kuwa taratibu zilikiukwa na kinyume na Katiba. Kwa nini Katibu wa Bunge na mwanasheria Mkuu wa Serikali awakushauri utaratibu sahihi na kumtaka Ndugai aelekeze barua yake kwa Katibu wa Bunge. Au Ndugai alifanya makusudi ili kutengeneza mgogoro wa kikatiba!!!?
Yaani ni bunge la hovyo kabisa kuwahi kutokeaSasa wanamdanganya nani ?! Au wao wenyewe !!
Only in Tanganyika
Hii ni aibu kubwa sanaYaani ni bunge la hovyo kabisa kuwahi kutokea
Genge la wahuni tupuHii ni aibu kubwa sana
Noma sana !Kufuatia kuibuliwa mahakamani kwa barua ambayo inadaiwa iliandikwa na Job Ndugai aliyekuwa spika wa bunge kwenda kwa Katibu wa Bunge ikimtaarifu kuwa anajiuzulu uspika kuanzia tarehe 06.01.2022...
Mkuu katiba ipo poa kwa baadhi ya segments tatizo linakuja kwa baadhi ya wanaobanwa na hiyo katiba ndiyo wanaisigina na kuonekana haina maana. Mfano issue ya Job katiba ipo wazi but kuna kundi linajiaminisha kuwa na nguvu kuliko katiba huku wnanchi tumeiacha katiba ijitetee yenyewe wakati sisi wananchi ndiyo wenye kuitetea kwa nguvu zote.Katiba ya nchi hii ni kama gazeti la kufungia maandazi!
Ni kweli,ndio maana nikasema ni Katiba nchi hii ni kama gazeti la kufungia maandazi!Yaani wanaikunja na kuisigina watakavyo!Mkuu katiba ipo poa kwa baadhi ya segments tatizo linakuja kwa baadhi ya wanaobanwa na hiyo katiba ndiyo wanaisigina na kuonekana haina maana. Mfano issue ya Job katiba ipo wazi but kuna kundi linajiaminisha kuwa na nguvu kuliko katiba huku wnanchi tumeiacha katiba ijitetee yenyewe wakati sisi wananchi ndiyo wenye kuitetea kwa nguvu zote.