Kujiuza nayo ni ujasiriamali???

Mmh! Kama ujasiriamali basi umachinga maana hata wamachinga nao wanajiita wajasi.
 
Ndugu zanguni jana nilipata mshtuko ingawa yawezekana naweza pata msaada toka kwenu..walikuwa wanadiscuss swala la ujasiriamali na mmoja wa wanamada akadai hata kujiuza nayo ni ujasiriamali kwakuwa wanajiajiri wenyewe wanajilipa weneyewe na mmoja kwenda mbali zaidi na kusema hilo ni zaidi ya ujasiriamali ...kwa kweli kwangu siwezi weka swala hili kama ujasiriamali ..nikabishana na wale mabwana nkasema ntapata ukweli halisi je kujiuza ni moja ya ujasiriamali??

Watu wengi hawajui mtaji mkubwa(capital) kuliko yote waliyonayo ni wao wenyewe.na huwa inapungua kadiri umri unavyosogea.
 
Hivi na wale wanaume kwenye maofisi yao wanaonaniiwa nao ni ujasirimali ama mbali??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom