Kujiuza nayo ni ujasiriamali??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujiuza nayo ni ujasiriamali???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni jana nilipata mshtuko ingawa yawezekana naweza pata msaada toka kwenu..walikuwa wanadiscuss swala la ujasiriamali na mmoja wa wanamada akadai hata kujiuza nayo ni ujasiriamali kwakuwa wanajiajiri wenyewe wanajilipa weneyewe na mmoja kwenda mbali zaidi na kusema hilo ni zaidi ya ujasiriamali ...kwa kweli kwangu siwezi weka swala hili kama ujasiriamali ..nikabishana na wale mabwana nkasema ntapata ukweli halisi je kujiuza ni moja ya ujasiriamali??
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,089
  Likes Received: 885
  Trophy Points: 280
  duuuuuhhh!!! ngoja waje wataalamu wa enterpreneurship hapa,innovation,creative,sijui nini. wanajua wenyewe. tutapata majibu tu.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  HILI CHINI JIBU TOSHA..HAYA LABDA WATUONGEZEE UTAALAMU
  [​IMG]
   
 4. T

  TAITUZA Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtu kama kakwama na ameona njia pekee ya kujikwamua, atoe kilicho mwilini mwake kwa wengine, mimi sioni kama ni tatizo, eti akinadada iwapo umejaaaliwa uzuri lkn kwa bahati mbaya u maskini, ya nini ufe maskini wakati kuna mitajiri na mijimari yao inakufukuziaaaa? K KWA DOLA C MBAAAYA. Wapo machangudoa maaarufu ulaya ambao wamejikwamua kiuchumi kupitia biashara hii.
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Pdidy baada ya kupita katika kitaa cha habari na hoja mchanganyiko na kukuta binti wa miaka 21 kauza Bikira yake kwa 100 Million (Tsh) naamin kua kujiuza ni ujasiriamali ambao ikiwezekana ukosomee kwanza entrepreneurship ili uweze fanikiwa katika hio biashara ... Kinacho matter ni uko wapi na nani wanakuzunguka.... Haipendezi but ndo ukweli wenyewe..
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Pdidy, kwa kusaidia tuu, hii ndio the oldest professional!. Ilianzia pale shetani alipomghilibu mama yetu wa kwanza Eva/Hawa kwa kumuonjesha ladha ya tunda, na Eva/Hawa kumshurtisha mumewe Adam lazima ale tunda na biashara rasmi ikaanzia hapo, kwa mwanaume kuwajibika kumgharimia mkewe ili kupata mafao husika.

  Najua nitapata wapinxzani wa hoja hii ila ukweli ndio huu. wanawake wote walio olewa na wasio olewa, wote biashara kuu ndio hii. Tofauti ya walio ndani ya ndoa na wanaojiuza ni tatu tuu, 1. Wateja 2. Malipo 3. Performance
  1.Wateja,
  Tofauti ya walio ndani ya ndoa ama wepenzi waaminifu na wale machangudoa ni wateja, wenye ndoa au wapenzi wao wanamteja mmoja wakati wenzao machangudoa wana wateja lukuki ila shughuli ni ile ile iwe ni kwa mteja mmoja au wateja wengi.
  2. Malipo.
  Form ya malipo kati ya mahusiano thabiti na machangu pia ni tofauti, wenye ndoa zao malipo ni indirect kwa cash, goods and services kama matunzo, kulishwa, kuvishwa, kupatiwa mahali pa kuishi, bargaining ikiwa ni mkataba wa ndoa au uaminifu kwa kuwa na mpenzi mmoja. Hata vile vijizawadi vya wapenzi pia ni form ya malipo. Machangu wao wanapanga bei na huprefer kulipwa hard cash. Iwe ni direct sale ya cash au goods and services, huduma inayolipiwa ni ile ile.
  3. Performance ya wenye mahusiano ya heshima na hawa machangu ndio tofauti iliyopo. Wenye heshima zao, huitoa huduma hiyo kwa staha na mahali muafaka at reasonable interval wakati wenzao, ni huduma zozote, popote na bnila idadi ya rounds per day. More suprising they more they do they better they become ndio maana wateja wanawafurikia kwao despite all the odds!.

  Kwa nchi za wenzetu, wameshalitambua hili na wana li regulate, wanalipa mpaka kodi. Huu ndio ujasiliamali rahisi kabisa kwa kinadada na ndio ajira inayoongoza duniani kote kwa kutoa huduma kwa karibu binadamu wote ukiondoa wale wenye matatizo na mapadiri wa Katoliki (ambao kwa vile hawaruhusiwi, ndio wanaolipia zaidi!).

  Kwenye nchi za wenzetu, wale baab kubwa wanacharge mpaka $ 100,000 kwa single serrvice na watu wanalipa!. Hapa bongo, wenye bahati zao, wanaendesha expesive cars na kuishi kwenye maghorofa yao masaki na mbezi beach huku wakipeleka bidhaa yao London, New York na Dubai na wakirudi na mali lukuki zinazoshehenezwa kwenye ma botique yaliyotapakaa kote jijini!.

  Kwa wenzetu, wengine ni wake kabisa wa ndoa na hizo ndizo shughuli zao. Hapa kwetu ni wake za watu hufanya biashara hii kwa siri, kuwauziwa mabosi ili kupata favours fulani, wengine hadi uwaziri wameukwaa kwa biashara hii hii na malipo ndio uwaziri au ubunge wa viti maalum!.

  Mjadala uje na sisi tanzania tuhalalishe biashara hii au la?.

  Pasco
   
 7. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Do not sit on your capital.
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mhhh, pasco!?
   
 9. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mhuuuu
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mkuu umemaliza kila kitu
   
 11. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pasco kwa hiyo biashara umenena, na pale chini uliposema hakika yake, ila kuridhia hili itakuwa dhambi japo kwa sasa inatendeka kichini chini hakuna wa kulisemea na waliowengi likipokelewa na kukubalika watashangaa kana kwamba halipo, kumbe lipo.

  Na hii jinsia nyingine, walio wengi wanatamani maisha ya wengine wakiona mwanamama/mwanadada mwenzao anendesha vogue, Nisan Navara, Nisan Hard board au Landcluzer Hardbord mayai, au Harrier au prado, x3, x5, benzi na miwani mikubwaa, au anabiashara pale mlimani ana kwingineko au kwa uongozi huu wanaoupata hawa wezetu, basi wanatamani tu kumbe hawajui wenzao wanafanya biashara haram ya kujiuza ile directly au indiretly. Wapo hata wake za watu wanfanya hivyo akiona budget ya mme wake haijitoshelezi anatafuta mbadala ili ikidhi haja ya kile anchotaka kuki-achieve jinsi ya ku-reconcile na mume wake anjua atakavyo mweleza wapi amepata hiyo resource....it is terrible !

  Ni tu kwamba hawajipangi pale Kinondoni, Africasana, Qbar etc lakini wanfanya hizo biashara tena kwenye hotel kubwa kubwa ndiko wanakokutania huko hata nje ya nchi si ameenda kuchukua mzigo huko huko mambo yanfanyika.
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280

  umenifurahisa kidogo ila kwa kucheka tu..leo neno la leo kanisani lilkuwa kubali uwe baridi ama joto kuliko kuwa uvuguvug maana utakufa wenzako wana magorofa zaidi ya sitini ,,lazima uamue uwe kwa yesu ama kwa shetan ukiwa uvuguvugu wanakutema wote unabakia na shida zako bora uwe kwa yesu uwe na uhakika wa maisha ya uzima wa milele..sasa basi jibu unalo...
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Uchumi mnao lakini mmeukalia- RM Kawawa (RIP).
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  mkuu pasco
  umenikumbusha ukaniuzunisha sana;;;nilikuwa dxb mwaka jana ndugu kama unakumbuka nilikuj a na mada ya mabinti wanagawa kinyume na maumbile dxb..kwa kweli nilitamani kulia muno..yaani ukiona dxb wanavyojitahdi kujifanya wauungwana wa kujali tabia nakwambia usiku ma hijabu aka baibui yanavuliwa kama unavyovua shanga za mkononi,/.
  Mbaya kuna watanzania unawaona wako dar mabinti wazuri mbaya wakija dxb wanauza kama njugu na kwa bei ya ajabu..tulikuwa hotel moja chini kuna mabinti wamejipamba utahsi wateja wa hotel wanasikilizia luga yako wee mashsallah wakuotee mbongo aisee nakumbuka jamaa aliondoka nao aliporudi akadai aoni dola zake miambili ..nikamwambia kwani wamekuja kuuza sura..akajaribu kuwapigia sijui awaulize nini na kwa siku doller mia so unaweza jua mtu kama huyu ana familia yake ameacha zaidi shs 30,000..wanaume waone wakiwa maofisini wakipataga vijitripu wanaotumbua wengi ni maharamia wa ndoa...sasa basi sikatai ila mmh.....jamani nimesoma kaidia cha ujasiriamali lakini wa kuuza miili naitaji shule nyingine.....ila nahisi serikali ifikw wakati waatambue wawape tin namba kabisa wawe atlast wanalipia kakodi cha serikali kuliko kuliwa bure vile..pale las begas ukifika usiku mapolisi wanawakamata wanaenda nao kule baharini na lendrover unajiuliza baharini kuna risiti za faini ama ..mwisho utapata jibu so kama serikali kupitia vyombo vya usalama vya polisi wanwatambua kwa kuwatumia kwa nini wasi wasiii wasiiiii...watambue at least mapolisi wawe wanawachukua kihalali na kulipia kodi .....
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  kale kaugonjwa kamekaa sehemu mbaya sana sehemu nyeti.....hon ali hassan mwinyi
   
 16. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Niliposoma haraka haraka sikuweza kukuelewa vizuri,
  lakin nimeisoma hii comment zaidi ya mara tano na hatimaye nimekuelewa,
  na KUKUUNGA MKONO 100% ++++.....

  Leo mi ntakuwa msomaji zaid, kwani naamini huko mbele
  atatoke mwingine mwenye mchanganuo unaofanana na huu au
  zaidi ya huu. LAZIMA TUFIKE MAHALI BINADAMU TUONGEE UKWELI,
  NA HUU WA PASCO NI UKWELI MMOJA WAPO.

  ASANTE SANA PASCO.
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  The Four Stages of Entrepreneurship from Jim Collins « Change for the Better!!

  Stage I – Have a Great Idea
  In the 1970s, entrepreneurs were fringe people with unique ideas and approaches that few others understood. They were the tinkerers and radicals who thought about the world in a different way than the rest of us. Entrepreneurs profited from building the better mousetrap and the rest of us bought their products and ideas.
  Stage II – Build a Business
  The better mousetraps led to successful businesses. Entrepreneurs used their product creation capability to build businesses that supplied and supported those products. The ability to create new products and organize around those successes made entrepreneurial businesses grow and thrive during Stage II.
  Stage III – Build a Great Company
  Somewhere in the 1990s, entrepreneurs shifted again, into Stage III, and began building great companies. They shifted away from building a better mousetrap into developing better processes around a strong brand. Great companies understand that there are plenty of better mousetraps out there and that it is the way those mousetraps are brought to market and used that creates value. In Stage II, entrepreneurs created a successful business. In Stage III, great companies create multiple successful businesses.
  Stage IV – Start a Great Movement
  Stage IV is just beginning to emerge. Entrepreneurs are starting to build things that are bigger than great companies. Customers become part of the business and the business aims at a goal that will transform people, which in turn will transform the company. Collins sites Wendy Koop and her Teach for America initiative as a prime example. She had a great idea, that turned into a business, that built a great company, and now her ideas and momentum have engaged people in ways that are likely to transform education. Koop started a movement that excites and engages people.
  Thirty years ago, CEOs had power. They could use that power to drive large organizations forward. Web 2.0 and other social networks have eroded that power and diffused it among many people. Now, CEOs power has been exchanged for influence. Using that influence is the only way to reach people with the power to help companies reach their objectives. Mobilizing those people requires an engaging movement and the use of influence usually only seen in social organizations.
  If this is the case and serves as the model for future successful businesses, what does that mean for our current models and current leadership? It means we will need to aim higher to create goals worthy of a movement, communicate those goals consistently and tirelessly, and accept the need to allow our customers impact the day-to-day operation of our organizations.

  Are we ready for this? Are you ready for this?

  nafikiri walichomisss zaidi ni kujiasajili BRELA watambulike nikimaanisha wawe na TIN namba na Mengineyo....kila stage naona wamifwata vyema ssasa najiuliza wakikamilisha kujisajili tuuite ujasirimali ama??
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ili mradi hakuna kuazimana anatumia mali zake ni ujasiriamali, na hapa msidhani tunaongelea wanawake tu, na vijana siku hizi wameibuka kwa kasi ya ajabu, kutaka wadada wanaodhani watawajasirisha kwa kiasi fulani. Ni shauri yao ili mradi hawavunji sharia
   
 19. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  mh? Haya mm yangu machooo
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Macho tu Murefu?
   
Loading...