Ndugu zanguni jana nilipata mshtuko ingawa yawezekana naweza pata msaada toka kwenu..walikuwa wanadiscuss swala la ujasiriamali na mmoja wa wanamada akadai hata kujiuza nayo ni ujasiriamali kwakuwa wanajiajiri wenyewe wanajilipa weneyewe na mmoja kwenda mbali zaidi na kusema hilo ni zaidi ya ujasiriamali ...kwa kweli kwangu siwezi weka swala hili kama ujasiriamali ..nikabishana na wale mabwana nkasema ntapata ukweli halisi je kujiuza ni moja ya ujasiriamali??
Pdidy, kwa kusaidia tuu, hii ndio the oldest professional!. Ilianzia pale shetani alipomghilibu mama yetu wa kwanza Eva/Hawa kwa kumuonjesha ladha ya tunda, na Eva/Hawa kumshurtisha mumewe Adam lazima ale tunda na biashara rasmi ikaanzia hapo, kwa mwanaume kuwajibika kumgharimia mkewe ili kupata mafao husika.Ndugu zanguni jana nilipata mshtuko ingawa yawezekana naweza pata msaada toka kwenu..walikuwa wanadiscuss swala la ujasiriamali na mmoja wa wanamada akadai hata kujiuza nayo ni ujasiriamali kwakuwa wanajiajiri wenyewe wanajilipa weneyewe na mmoja kwenda mbali zaidi na kusema hilo ni zaidi ya ujasiriamali ...kwa kweli kwangu siwezi weka swala hili kama ujasiriamali ..nikabishana na wale mabwana nkasema ntapata ukweli halisi je kujiuza ni moja ya ujasiriamali??
Mkuu umemaliza kila kituPdidy, kwa kusaidia tuu, hii ndio the oldest professional!. Ilianzia pale shetani alipomghilibu mama yetu wa kwanza Eva/Hawa kwa kumuonjesha ladha ya tunda, na Eva/Hawa kumshurtisha mumewe Adam lazima ale tunda na biashara rasmi ikaanzia hapo, kwa mwanaume kuwajibika kumgharimia mkewe ili kupata mafao husika.
Najua nitapata wapinxzani wa hoja hii ila ukweli ndio huu. wanawake wote walio olewa na wasio olewa, wote biashara kuu ndio hii. Tofauti ya walio ndani ya ndoa na wanaojiuza ni tatu tuu, 1. Wateja 2. Malipo 3. Performance
1.Wateja,
Tofauti ya walio ndani ya ndoa ama wepenzi waaminifu na wale machangudoa ni wateja, wenye ndoa au wapenzi wao wanamteja mmoja wakati wenzao machangudoa wana wateja lukuki ila shughuli ni ile ile iwe ni kwa mteja mmoja au wateja wengi.
2. Malipo.
Form ya malipo kati ya mahusiano thabiti na machangu pia ni tofauti, wenye ndoa zao malipo ni indirect kwa cash, goods and services kama matunzo, kulishwa, kuvishwa, kupatiwa mahali pa kuishi, bargaining ikiwa ni mkataba wa ndoa au uaminifu kwa kuwa na mpenzi mmoja. Hata vile vijizawadi vya wapenzi pia ni form ya malipo. Machangu wao wanapanga bei na huprefer kulipwa hard cash. Iwe ni direct sale ya cash au goods and services, huduma inayolipiwa ni ile ile.
3. Performance ya wenye mahusiano ya heshima na hawa machangu ndio tofauti iliyopo. Wenye heshima zao, huitoa huduma hiyo kwa staha na mahali muafaka at reasonable interval wakati wenzao, ni huduma zozote, popote na bnila idadi ya rounds per day. More suprising they more they do they better they become ndio maana wateja wanawafurikia kwao despite all the odds!.
Kwa nchi za wenzetu, wameshalitambua hili na wana li regulate, wanalipa mpaka kodi. Huu ndio ujasiliamali rahisi kabisa kwa kinadada na ndio ajira inayoongoza duniani kote kwa kutoa huduma kwa karibu binadamu wote ukiondoa wale wenye matatizo na mapadiri wa Katoliki (ambao kwa vile hawaruhusiwi, ndio wanaolipia zaidi!).
Kwenye nchi za wenzetu, wale baab kubwa wanacharge mpaka $ 100,000 kwa single serrvice na watu wanalipa!. Hapa bongo, wenye bahati zao, wanaendesha expesive cars na kuishi kwenye maghorofa yao masaki na mbezi beach huku wakipeleka bidhaa yao London, New York na Dubai na wakirudi na mali lukuki zinazoshehenezwa kwenye ma botique yaliyotapakaa kote jijini!.
Kwa wenzetu, wengine ni wake kabisa wa ndoa na hizo ndizo shughuli zao. Hapa kwetu ni wake za watu hufanya biashara hii kwa siri, kuwauziwa mabosi ili kupata favours fulani, wengine hadi uwaziri wameukwaa kwa biashara hii hii na malipo ndio uwaziri au ubunge wa viti maalum!.
Mjadala uje na sisi tanzania tuhalalishe biashara hii au la?.
Pasco
mtu kama kakwama na ameona njia pekee ya kujikwamua, atoe kilicho mwilini mwake kwa wengine, mimi sioni kama ni tatizo, eti akinadada iwapo umejaaaliwa uzuri lkn kwa bahati mbaya u maskini, ya nini ufe maskini wakati kuna mitajiri na mijimari yao inakufukuziaaaa? K kwa dola c mbaaaya. Wapo machangudoa maaarufu ulaya ambao wamejikwamua kiuchumi kupitia biashara hii.
Uchumi mnao lakini mmeukalia- RM Kawawa (RIP).Do not sit on your capital.
pdidy, kwa kusaidia tuu, hii ndio the oldest professional!. Ilianzia pale shetani alipomghilibu mama yetu wa kwanza eva/hawa kwa kumuonjesha ladha ya tunda, na eva/hawa kumshurtisha mumewe adam lazima ale tunda na biashara rasmi ikaanzia hapo, kwa mwanaume kuwajibika kumgharimia mkewe ili kupata mafao husika.
Najua nitapata wapinxzani wa hoja hii ila ukweli ndio huu. Wanawake wote walio olewa na wasio olewa, wote biashara kuu ndio hii. Tofauti ya walio ndani ya ndoa na wanaojiuza ni tatu tuu, 1. Wateja 2. Malipo 3. Performance
1.wateja,
tofauti ya walio ndani ya ndoa ama wepenzi waaminifu na wale machangudoa ni wateja, wenye ndoa au wapenzi wao wanamteja mmoja wakati wenzao machangudoa wana wateja lukuki ila shughuli ni ile ile iwe ni kwa mteja mmoja au wateja wengi.
2. Malipo.
Form ya malipo kati ya mahusiano thabiti na machangu pia ni tofauti, wenye ndoa zao malipo ni indirect kwa cash, goods and services kama matunzo, kulishwa, kuvishwa, kupatiwa mahali pa kuishi, bargaining ikiwa ni mkataba wa ndoa au uaminifu kwa kuwa na mpenzi mmoja. Hata vile vijizawadi vya wapenzi pia ni form ya malipo. Machangu wao wanapanga bei na huprefer kulipwa hard cash. Iwe ni direct sale ya cash au goods and services, huduma inayolipiwa ni ile ile.
3. Performance ya wenye mahusiano ya heshima na hawa machangu ndio tofauti iliyopo. Wenye heshima zao, huitoa huduma hiyo kwa staha na mahali muafaka at reasonable interval wakati wenzao, ni huduma zozote, popote na bnila idadi ya rounds per day. More suprising they more they do they better they become ndio maana wateja wanawafurikia kwao despite all the odds!.
Kwa nchi za wenzetu, wameshalitambua hili na wana li regulate, wanalipa mpaka kodi. Huu ndio ujasiliamali rahisi kabisa kwa kinadada na ndio ajira inayoongoza duniani kote kwa kutoa huduma kwa karibu binadamu wote ukiondoa wale wenye matatizo na mapadiri wa katoliki (ambao kwa vile hawaruhusiwi, ndio wanaolipia zaidi!).
Kwenye nchi za wenzetu, wale baab kubwa wanacharge mpaka $ 100,000 kwa single serrvice na watu wanalipa!. Hapa bongo, wenye bahati zao, wanaendesha expesive cars na kuishi kwenye maghorofa yao masaki na mbezi beach huku wakipeleka bidhaa yao london, new york na dubai na wakirudi na mali lukuki zinazoshehenezwa kwenye ma botique yaliyotapakaa kote jijini!.
Kwa wenzetu, wengine ni wake kabisa wa ndoa na hizo ndizo shughuli zao. Hapa kwetu ni wake za watu hufanya biashara hii kwa siri, kuwauziwa mabosi ili kupata favours fulani, wengine hadi uwaziri wameukwaa kwa biashara hii hii na malipo ndio uwaziri au ubunge wa viti maalum!.
Mjadala uje na sisi tanzania tuhalalishe biashara hii au la?.
Pasco
Pdidy, kwa kusaidia tuu, hii ndio the oldest professional!. Ilianzia pale shetani alipomghilibu mama yetu wa kwanza Eva/Hawa kwa kumuonjesha ladha ya tunda, na Eva/Hawa kumshurtisha mumewe Adam lazima ale tunda na biashara rasmi ikaanzia hapo, kwa mwanaume kuwajibika kumgharimia mkewe ili kupata mafao husika.
Najua nitapata wapinxzani wa hoja hii ila ukweli ndio huu. wanawake wote walio olewa na wasio olewa, wote biashara kuu ndio hii. Tofauti ya walio ndani ya ndoa na wanaojiuza ni tatu tuu, 1. Wateja 2. Malipo 3. Performance
1.Wateja,
Tofauti ya walio ndani ya ndoa ama wepenzi waaminifu na wale machangudoa ni wateja, wenye ndoa au wapenzi wao wanamteja mmoja wakati wenzao machangudoa wana wateja lukuki ila shughuli ni ile ile iwe ni kwa mteja mmoja au wateja wengi.
2. Malipo.
Form ya malipo kati ya mahusiano thabiti na machangu pia ni tofauti, wenye ndoa zao malipo ni indirect kwa cash, goods and services kama matunzo, kulishwa, kuvishwa, kupatiwa mahali pa kuishi, bargaining ikiwa ni mkataba wa ndoa au uaminifu kwa kuwa na mpenzi mmoja. Hata vile vijizawadi vya wapenzi pia ni form ya malipo. Machangu wao wanapanga bei na huprefer kulipwa hard cash. Iwe ni direct sale ya cash au goods and services, huduma inayolipiwa ni ile ile.
3. Performance ya wenye mahusiano ya heshima na hawa machangu ndio tofauti iliyopo. Wenye heshima zao, huitoa huduma hiyo kwa staha na mahali muafaka at reasonable interval wakati wenzao, ni huduma zozote, popote na bnila idadi ya rounds per day. More suprising they more they do they better they become ndio maana wateja wanawafurikia kwao despite all the odds!.
Kwa nchi za wenzetu, wameshalitambua hili na wana li regulate, wanalipa mpaka kodi. Huu ndio ujasiliamali rahisi kabisa kwa kinadada na ndio ajira inayoongoza duniani kote kwa kutoa huduma kwa karibu binadamu wote ukiondoa wale wenye matatizo na mapadiri wa Katoliki (ambao kwa vile hawaruhusiwi, ndio wanaolipia zaidi!).
Kwenye nchi za wenzetu, wale baab kubwa wanacharge mpaka $ 100,000 kwa single serrvice na watu wanalipa!. Hapa bongo, wenye bahati zao, wanaendesha expesive cars na kuishi kwenye maghorofa yao masaki na mbezi beach huku wakipeleka bidhaa yao London, New York na Dubai na wakirudi na mali lukuki zinazoshehenezwa kwenye ma botique yaliyotapakaa kote jijini!.
Kwa wenzetu, wengine ni wake kabisa wa ndoa na hizo ndizo shughuli zao. Hapa kwetu ni wake za watu hufanya biashara hii kwa siri, kuwauziwa mabosi ili kupata favours fulani, wengine hadi uwaziri wameukwaa kwa biashara hii hii na malipo ndio uwaziri au ubunge wa viti maalum!.
Mjadala uje na sisi tanzania tuhalalishe biashara hii au la?.
Pasco
Macho tu Murefu?mh? Haya mm yangu machooo