Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

Unazungumzia usalama wa taifa lipi? Kenya,Uganda au malawi?maana hapa kwetu hatuna usalama wa taifa tuna usalama wa CCM tu.

Usipotoshe Umma,CCM WANA USALAMA WAO NA SERIKALI INACHOMBO HICHO ACHEN MAJUNGU GREAT THINKER WA INTERNET,

Hizo nafasi huwa hazitangazwi, subiri utajikuta umetekwa tu juu kwa juu
Hello wakuu!!kama kuna mwenye mchongo wa job za hao watu,plz naomba anijulishe!elimu yangu,ni ya vidato 6.sababu ya mimi kutaka kuwa nao ni mapenzi yangu binafc 2 na hyo kazi..

Usipotoshe Umma,CCM WANA USALAMA WAO NA SERIKALI INACHOMBO HICHO ACHEN MAJUNGU GREAT THINKER WA INTERNET,

Hivi wale wanyama walioibiwa wakiwa wazima pamoja maliasiri nyinginezo na kupelekwa nchi nyingine na wajanja,usalama wa taifa walikuwepo nchini?au kazi ya usalama wa taifa nini?

Nikukute Tegeta Kibao na Cv zako sawa...vaa vzr upendeze..maana unaenda kwenye usaihili..wa kazi ..hahahahahaha

Nikukute Tegeta Kibao na Cv zako sawa...vaa vzr upendeze..maana unaenda kwenye usaihili..wa kazi ..hahahahahaha

we unadhan wa2 wote humu jf 2naish dar mkuu.me niko huku sumbawanga.

Acha upuuzi ww!unazungumza habari damu kumwagika?ikifika sehemu kazi ya vyombo vya dola ikawa ni kumwaga damu basi mwisho wa hiyo dola itakuwa imefika.

Dogo unataka kuwa shushushu kajipendekeze kwa reez1 yeye ndie anaajiri hao jamaa

duh,umemkomalia,nathani hana hamu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…