Kujilinda na vibaka ama wavamizi bila ya kuwa na silaha

Jifanye muhuni mwenzao if possible kuwa muhuni mwezao kabisa hakuna ana kugusa, nishawahi kutembea nimevua shati mara nyingi sana ili kuepuka roba. Ikishindikana tembea na pesa ndogo ndogo karibu, all in all kuwa mbabe tembea na siraha.

Sent using Jamii Forums mobile app
siku hujatembea na silaha wanakuzukia, siku unazotembea nazo wala hukutani nao
 
Jifanye muhuni mwenzao if possible kuwa muhuni mwezao kabisa hakuna ana kugusa, nishawahi kutembea nimevua shati mara nyingi sana ili kuepuka roba. Ikishindikana tembea na pesa ndogo ndogo karibu, all in all kuwa mbabe tembea na siraha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiiii ndiyo silaha ninayoiamini namba moja. Komaaa nao na uwaeleze wababe wa kitaa wote unaopiga nao mzigo, watakuona bonge la mchawi na mwisho wa siku unawapa mgao wa elfu 10 na kuwahamasisha waendelee na kazi pasipi shaka.
Note; kama huna uwezo usithubutu kupambana na wahalifu hasa vibaka, ukishaona umetaitiwa na mbinu zote zimegota Sarrenda, wape wanachotaka kwa heshima, usisubiri kuchomwa bisu au bisibisi ya kifua tutakupoteza.
MWIKO: Usimtambue kibaka/Mhalifu unayemjua eneo la tukio, mkwepe macho yake kuepuka dhahama. Hii itakuwa zaidi ya vita.
 
asante saana
 
mimi nilikua na laki tatu mfuko wa nyuma, alafu mfuko wa mbele nilikua na sh.200 tu.
Nikapita chocho flani kajamaa kamoja kakajifanya kanakojoa, nilivyompita tu akatokea mwingine kwa mbele machale yakanicheza.

Yule wa mbele akaniambia "braza tupe hata pesa tukavute mafegi" (nadhani alifikiri nitakataa kumpa hela ya fegi ili wapate sababu ya kunikaba).

Kwa haraka sana nikaingiza mkono mfukoni nikatoa sh.200 nikampa akaipokea akabaki ameduwaa; Yule mwenzake akaanza kupiga kelele kumlaumu kwa nini ameniacha nipite ila jamaa hakumjibu chochote na mimi nikawa tayari nimeshamaliza kuvuka hicho kichochoro salama salmini.

Mbinu kubwa ni kujiamini tu.
Kuna jamaa mmoja miaka ya nyuma yeye aliwaweka vibaka chini ya ulinzi kwa kutumia lighter ya sigara pale Kinondoni. Ilikuwa usiku anakatisha peke yake akakutana na vibaka wawili wana panga wakamdai fedha. Akaingiza mkono mfukoni akatoa lighter ya sigara akaishika kijanja kama bastola na kuwaamuru wanyooshe mikono juu. Kulivyokuwa na kigiza wakadhani ni bastola wakanyoosha kweli. Akawaamuru wasambae haraka kabla hajawapusua ubongo na wakatii.
 
mimi ningewasachi kabisa ndiyo niwaambie wasambae.
 
Jifunze kutembea kama wao...na mwendo kama wao...usiku vaa kama wao... Uwe Wa kwanza kuwapa hai...ujifunze sauti zao na salamu zao...usikose Ka sigara mfukoni hata ka moja... BHANA EEEH JIFUNZE UTAMADUNI WAO...UKIMASTER TU..UTAENJOY..MIE NMEKULIA USWAZ HVIIIIII...MCHANA MSICHANA ila USIKU MKAKA MMOJA HVIIII KAVAA KAPELI HAELEWI NA NLIVONYOA utasema Mdogo ake kitale...
Vipi wakuu?

Kuna jamaa yangu alivamiwa beach na vibaka watatu wenye visu, hakuwa na ujuzi ila nafikiri nao walikuwa mateja tu hawakujua kutumia silaha, aliwaweza kwa street fight tu za kuzaliwa, alimmwagia mchanga mmoja usoni akapiga vibaya mno.

Ila siku nyingine anaweza kutana na wababe, si unajua hapa bongo. Je, ni mbinu gani za kujihami na hawa vibaka au watu wanaokuvamia pasipo nawe kuwa na silaha? Mbinu gani za kueliminate the challenge/ defencing katika hali kama hii ya jamaa yangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiiii ndiyo silaha ninayoiamini namba moja. Komaaa nao na uwaeleze wababe wa kitaa wote unaopiga nao mzigo, watakuona bonge la mchawi na mwisho wa siku unawapa mgao wa elfu 10 na kuwahamasisha waendelee na kazi pasipi shaka.
Note; kama huna uwezo usithubutu kupambana na wahalifu hasa vibaka, ukishaona umetaitiwa na mbinu zote zimegota Sarrenda, wape wanachotaka kwa heshima, usisubiri kuchomwa bisu au bisibisi ya kifua tutakupoteza.
MWIKO: Usimtambue kibaka/Mhalifu unayemjua eneo la tukio, mkwepe macho yake kuepuka dhahama. Hii itakuwa zaidi ya vita.

"Bisu" umenkumbusha muvi zilizotafsiriwa na Lufufu
 
1. Mara ya kwanza nilipita chocho nakuta wamemjalisha mlinzi kwa usingizi wanataka kubomoa. Wakanifokea "ooya pita basi tufanye yetu" Hiyo ilikuwa saa 5 usiku.

2. Siku nyingine tulikuwa tunatoka saa 6 tukakuta masela wamezuia njiani! Wakadai tuwaachie hata ya bia, nikatoa chaaap buku 2 nikampa! Dogo akanimaind sana kuona nawapa kirahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martial arts huwa inasaidia kwa kiwango kikubwa sana, kwasababu huwa inakupa confidence sana kutokana na mbinu mbalimbali unazojifunza.

Binafsi huwa nikitoka na najua ninakoenda naweza kurudi usiku sana na njia ntakazotumia kufika home uwezekano wa kukutana na vibaka ni mkubwa, huwa nahakikisha :-

1. Aina ya mavazi ntakayovaa yawe siyo ya kunibana ikitokea purukushani. (Raba nyepesi, t-shirts na track au jeans.

2. Pen mbili mfukoni lazima

3. Mara nyingi nikiwa na begi huwa sikosi hii kitu hapa chini kwa bag yangu.
41wjBledaEL._AC_SY400_.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom