Kujilinda na vibaka ama wavamizi bila ya kuwa na silaha

We ukiona unaenda kupita eneo hatarishi kama hilo hakikisha kwenye begi lako haukosi mfuko au kiloba ambocho si kisafisana kama wakiume vua shati vua raba saa simu zima eka kwenye fuko lako chafu suruari Kunja okota karatasi role weka sikioni yaani utapita kama mfalme wenyewe pia watakuogopa hii mbinu Ili wahi kuniokoa chuoni enzi hizo ada kwa mhasibu sio bank kwanza zilikua chache mno, ada ilikua mfukoni na nimechelewa kurudi geto afu kwambali nika sikia harufu ya Moshi wa Cha Jamaica na geto kufika sio mbali sana na hapo iyo akili ilikuja fasta nikajiongeza nikapita kama na nesa vile wenge jingi naongea peke yangu wakajua chizi wakaendelea kutega mingo zao kesho yake tukapata taarifa wanafunzi kama watatu hivi walikabwa na kunyang'anywa vitu pale pale nilipo pita.
 
Hahaha.. hii kali.
 
Back
Top Bottom