Kabembe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2009
- 2,548
- 1,741
Niliwahi kuwakimbia vibaka na kuingia kwenye nyumba ya vibaka (watoto yatima). Hiyo nyumba ya watoto yatima ilikuwa inavutwa bangi 24/7. Bahati nzuri nilimkuta kibaka mkuu (kiongozi wa hiyo kambi )ananifahamu, wakanisindikiza hadi home na nikawapa 5,000/=. Kuanzia siku ile hata iwe saa ngapi mie nakatiza tu na tungi langu maana nilikuwa nalindwa na battalion ya vibaka.