Kujichua ni dhambi duniani na kwa Mungu

Kujichua ni dhambi duniani na kwa Mungu

Nilikuwa nimelala siesta mchana nikapiga bao duh sijui nitakuwa nimeua wangapi!
 
Kwa nini Mungu aliwapa vijana wadogo (teenagers) nyege ilhali ameagiza ngono kwenye ndoa tu?

Alitaka watoto wa miaka 14,15,16 waoe?

Hata wasipopiga 'njenje' watapata wet dreams ambayo ni hayo hayo mauaji ya halaiki according to you.
 
Wadada nao siku hizi wanapiga puchu, je nao wanauwa?
 
ili mimba iingie mbegu moja tu ndio itafanikiwa, izo zingine zinakufa hapo dhambi itakuwa ya nani kwa izo zilizokufa?

wet dreams, uwa zinatokeaga tu ukiwa umelala beyond your control, nayo dhambi ya nani?
 
wet dream ni tendi bila ufahamu wako
Kosa kumwaga njee hasa chuni mwwgia ndani ndio kusud la mungu yy ndio atatenda muujiza wake kama mapacha au usizae mpaka uzeeni kama sarah
 
Kwa nini Mungu aliwapa vijana wadogo (teenagers) nyege ilhali ameagiza ngono kwenye ndoa tu?

Alitaka watoto wa miaka 14,15,16 waoe?

Hata wasipopiga 'njenje' watapata wet dreams ambayo ni hayo hayo mauaji ya halaiki according to you.
Hao mbona watu wazima wanadidisha na kuzalisha mkuu. Mtoti wa miaka 10 kwa zaman alikua na watoto wawili alimilik shamba lake na mifugo mbalumbali ni nyinyi tu na mifumo yenu hamtaki kurejea eden sasa leo kijana anamaliza degree akiwa 25 yrs si upuuuzi huu eti ndio anaoa wakati life expectnc ni haizid 60
 
Mkuu kupiga punyeto ni dhambi usihararishe

So is kusema uongo, kuzini, kusengenya, kutamani kisicho chako, dhuluma, kulewa, kumpiga mwenzio.. kudanganya, kuiba, kusujudu miungu etc..

Kwanini ulishupalie hili moja..?
 
As long as there is pornography,as long as women say no to us,man will always seek n rake refuge on Masturbation.
Now am a legend at it And managed to keep it at bay.I saw its effects,but one thing it made me feel??Well it made me feel there is life after a bitch says NO.
 
appoh

vp kuhusu wale wanaotumia condoms na uzazi wa mpango?
 
Last edited by a moderator:
Sperm zina watoto laki moja?mbona ukimwagia kwenye uke anatoka mmoja tu au mapacha ?
 
vp kuhusu wale wanaotumia condoms na uzazi wa mpango?

Hukuagizwa uvae kondom wala upange uzazi uliagizwa uijaze dunia huoni unampinga muumba kwa maaumiz ysko
 
Sperm zina watoto laki moja?mbona ukimwagia kwenye uke anatoka mmoja tu au mapacha ?
Ni miujiza ya mungu ndio maana anataka umwwgie ndani sio sakafun au bafuni zingine zibaki ndani ya mwanamke kama atakavyo
 
As long as there is pornography,as long as women say no to us,man will always seek n rake refuge on Masturbation.
Now am a legend at it And managed to keep it at bay.I saw its effects,but one thing it made me feel??Well it made me feel there is life after a bitch says NO.
U against god will ur tempation will lead you hell that is a sin
 
So is kusema uongo, kuzini, kusengenya, kutamani kisicho chako, dhuluma, kulewa, kumpiga mwenzio.. kudanganya, kuiba, kusujudu miungu etc..

Kwanini ulishupalie hili moja..?
Kote huko nitafika
 
Hao mbona watu wazima wanadidisha na kuzalisha mkuu. Mtoti wa miaka 10 kwa zaman alikua na watoto wawili alimilik shamba lake na mifugo mbalumbali ni nyinyi tu na mifumo yenu hamtaki kurejea eden sasa leo kijana anamaliza degree akiwa 25 yrs si upuuuzi huu eti ndio anaoa wakati life expectnc ni haizid 60

Zamani ya mwaka gani unayoimaanisha?

Edeni iko nchi gani kiongozi?

Sasa kama wote tutaenda huko Edeni kutatosha kweli?

Halafu kurejea means kwenda mahali ulipowahi kuwepo,sasa what about me ambaye siijui hata mahali ilipo hiyo Edeni?
 
Back
Top Bottom