Hoja zako ngoja nizichambue kwa kufuata kanuni za kisheriakumbe ukiota ndoto usiku na kuk.piss tayari you are subjected to stand before the ICC kwa kuwa umeua, sikujua aisee....
Na wanaonyonyana na hata kumeza mani.i kumbe wanakula watu ...... sikujua aisee....
Mbona ICC itakoma mwaka huu
Unachekesha hivi kwanza weka tofauti ya kanuni na sheria.Hoja zako ngoja nizichambue kwa kufuata kanuni za kisheria
kuna kitu kinaitwa manslaughter yaan kua bila kukusudia ndio hiyo kuota ndoto nyevu
Na kuna murder case yaan kwa kukusudia ndio hiyo mass killing
I have a friend who does it twice a day...
Nahisi angekuwa na dunia yake sasa kwa hao viumbe alikojolea ardhini...almost 2 years now
Mi sikati viuno hapa so sijachekesha mtu.huwez kuua bila kua na nafsi
kisheria kuua lazima ku-affect nafsi (personification) sasa kwenye man.ii nafsi ipo wapi?
acha ushamba bw. life starts at the time of fertilization na sio kabla ya hapo. Mizigo yako ukimwaga, ni mzigo tu, sio watu hao kaka...
Vitabu vyangu vitukufu havijanifundisha hivyo
Rafiki acha kujitungia amri zako. Mungu amesha tuwekea amri 10. Hizo zenyewe hauzitimizi unataka kujiongezea za kwako.
11. Usipige punyeto.
Mkuu kupiga punyeto ni dhambi usihararisheNi kwa sababu hujui biology laiti ungejua kwamba Ili Kiumbe kitengenezwe inahitajika chromosomes 23 toka kwenye sperms an 23 zingine toka kwenye ovum Ili zitengenze chromosmes 46 ambazo ndio zinakwenda kutengeneza kiumbe. Bila hivyo zikibaki Hizo sperms zenyewe tu hazina maana katika uundwaji wa kiumbe. Na ndio maana hata mwanamke akiwa kwenye ovulation isipotokea mbegu yai linaharibika Na kupata MP pole sana Kama huelewi hata hii basic biology.