mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,734
Sperms haziwez kuwa watoto kama hazijakutana na za upande wa pili acha kupotosha
Unachosema ni kwamba, hata ukifanya tendo la ndoa na mke wako akiwa katika siku ambazo si za kushika mimba unakuwa umeua na ni dhambi. Maana hata pata mimba na mbegu zinakuwa zimepotea. Na kwa kuwa ulijua dhahiri hawezi kupata mimba unakuwa umetenda dhambi.
U against god will ur tempation will lead you hell that is a sin
Sisi wana CHAPUTA hatupigi PUNYETO bali tunafanya penzi la binafsi.....
Ukila manii hutendi dhambi sababu zinarakiwa zibaki kwa mwanamke sio kuua mbegu za binadamu wa kesho
Zile ni roho kidin
Kwahiyo ni sahihi kula manii?
Zile ni roho kidin
zingekuwa roho basi wanaume wangejipa mimba kwa mbegu zao wenyewe. kila anayeitwa kiumbe aidha ana roho au mwili kuna vitu vinavyomfanya awe kiumbe, kwa binadamu lazima uwe na seti ya mbegu; za kike na kiume ili zikamilishe idadi sahihi ya virutubisho vinavyounda binadamu.
Kosa pekee ambalo linahusu kumwaga mbegu linaonekana katika maandiko ya biblia agano la kale ambapo kuna mtu alipewa mwanamke mke wa kaka yake ili ampe marehemu kaka yake uzao lkn yeye aliwithdraw(alimwaga mbegu nje ya mwili wa mwanamke) ili asimpe nduguye uzao Mungu alichukizwa na hili akumuua.
Mbegu hizo za kiume ni sawa na kutema mate tu, ila tu imetokea kwamba zina kitu cha ziada ambacho ni nguvu ya kurutubisha yai. binafsi sikubaliani na hoja ya mbegu ni roho ingawa nakubali kwamba kujichua ni dhambi.
Mwanzo 6:14