Kujichua ni dhambi duniani na kwa Mungu

Kujichua ni dhambi duniani na kwa Mungu

Niijaze Dunia?? whaaaaat

Utanisaidia kulea??
we zaa tu mtoto wako hawezi kufa njaa wala kukosa shule kuna bibi babu shangazi mjomba kaka dada wote hawawezi kukubali damu yao ipotee
 
we zaa tu mtoto wako hawezi kufa njaa wala kukosa shule kuna bibi babu shangazi mjomba kaka dada wote hawawezi kukubali damu yao ipotee

sikubaliani na ushauri wako.....,Unanishauri kuwa tegemezi.
Na ni nani atakaye kubali kukulelea watoto wako na angali wewe upo?
 
Je wanaofanya kwa kutumia kondom huwa hawaui au wanaofanya kwa starehe zao je?
 
Ok, kumbeeeee, basi kama ni hivyo hata ukilala na mkeo alafu ukamwaga nje au ukitumia condom ni dhambi kubwa sana
 
appoh

Unazani watu wanapenda kupiga nyeto?
Tatizo udomo zege na kuendekeza ngono tu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom