KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 669
Karibu wana Jamvi tujadiliane hiki kitu...
Kujenga nyumba ya kuishi mfano Vyumba vitatu au vinne au Viwili ni mafanikio au ni Majukumu..??
Mfano wewe ni mtumishi wa Umma Je, Huwajibiki kuijengeaa nyumba, Je kwanini tusiseme ni majukumu yakoo kuhakikisha familia yako inapata makazi bora...??
Je, kama ni mtumishi mfano mwalimu kujenga nyumba huwez kusema nimefanikiwa kwa kuwa nimeweza kujenga nyumba ya Kuishi..??
Hojaa yangu iko katikaa kitu mahususi kifuatacho, mimi ni mkazi wa Mwanza nimebahatikaa kufikaa mkoa wa Kagera na Viunga vyake....Kuanzia Kibaoni, Muleba, Nshamba, Rubya, Kyaka, Kemondo, Bihalamulo, Kanyigo, Karagwe, Katoro, Katoma, Kiyanja, Minziro...
Kotee hukoo watu kwa wingi wanaishi kwa Nyumba bora, nyumba za Kisasa na makazi bora kwa familia Nyingi....kulinganishaa na Wilaya na Viunga vya mkoa wa Ruvuma.....
Kwanini nimeelezaa hayoo juu...kwa Takwimu za BOT mikoa Tajiri Tanzania ni....
Mikoa Tajiri GDP per Capita in Thousand Tsh.
1. Dar es Salaam - 4,678,751
2. Iringa - 4,028,544
3. Mbeya - 3,788,604
4. Ruvuma - 3,396, 587
5. Kilimanjaro - 3,393,587
Mikoa masikini Tanzania
1. Kagera - 1,168,661
2.Kigoma - 1,479,389
3.Singida - 1,622,891
4. Dodoma - 1,759,347
5. Tabora - 1,777,039
Chanzo: NBS
Hapaa ndo napata hoja Je, kumbe kuwa na nyumba nzuri sio mafanikio......??????