Kujenga Nyumba ni Mafanikio au ni Majukumu ya kifamilia

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Karibu wana Jamvi tujadiliane hiki kitu...

Kujenga nyumba ya kuishi mfano Vyumba vitatu au vinne au Viwili ni mafanikio au ni Majukumu..??

Mfano wewe ni mtumishi wa Umma Je, Huwajibiki kuijengeaa nyumba, Je kwanini tusiseme ni majukumu yakoo kuhakikisha familia yako inapata makazi bora...??

Je, kama ni mtumishi mfano mwalimu kujenga nyumba huwez kusema nimefanikiwa kwa kuwa nimeweza kujenga nyumba ya Kuishi..??

Hojaa yangu iko katikaa kitu mahususi kifuatacho, mimi ni mkazi wa Mwanza nimebahatikaa kufikaa mkoa wa Kagera na Viunga vyake....Kuanzia Kibaoni, Muleba, Nshamba, Rubya, Kyaka, Kemondo, Bihalamulo, Kanyigo, Karagwe, Katoro, Katoma, Kiyanja, Minziro...

Kotee hukoo watu kwa wingi wanaishi kwa Nyumba bora, nyumba za Kisasa na makazi bora kwa familia Nyingi....kulinganishaa na Wilaya na Viunga vya mkoa wa Ruvuma.....

Kwanini nimeelezaa hayoo juu...kwa Takwimu za BOT mikoa Tajiri Tanzania ni....

Mikoa Tajiri GDP per Capita in Thousand Tsh.
1. Dar es Salaam - 4,678,751
2. Iringa - 4,028,544
3. Mbeya - 3,788,604
4. Ruvuma - 3,396, 587
5. Kilimanjaro - 3,393,587

Mikoa masikini Tanzania
1. Kagera - 1,168,661
2.Kigoma - 1,479,389
3.Singida - 1,622,891
4. Dodoma - 1,759,347
5. Tabora - 1,777,039

Chanzo: NBS

Hapaa ndo napata hoja Je, kumbe kuwa na nyumba nzuri sio mafanikio......??????
 
Hapo nadhani wanaongelea vipato....

Mtu anaweza pata 1m na hasifanye maendeleo yoyote....lakin mtu anaweza pata 300k na akaibajeti vzr na kuwa na maisha Bora...

Ndo tofauti iliyopo kati ya kagera na Ruvuma

Population pia inachangia kagera 3.5million people so ukilinganisha na kipato inaonekana chini
 
Kujenga nyumba ni mambo mawili.

1. Kuharibu mazingira. Kwa kutamiti ili usafishe kiwanja pia kuchimba mchanga na cement pia inatokana na miamba inayochimbwa. Pia mbao za ujenzi zinatokana na miti.

2. Uoga wa maisha. Kuwa usipojenga watu watashangaa kwa kuwa wao wamejenga. Unaishi kwa kufuata wasemayo watu au tuseme unaishi kwa kuigiza wafanyayo wengine.

3. Ni matumizi mabaya ya rasilimali hela na nafasi (space). Kama nyumba tayari zipo za kutosha na kila mtu ana pakulala kwanini ujenge mpya? Walio na zakwao watawapangishia wasio kuwa nazo. Kila mtu akiwa na nyumba maana yake kuna mijumba itakuwa ni makazi ya buibui na vumbi.

Tule maisha wazee ukipata hela nunua gari ya ndoto yako uwe unatembelea kalio.
 
Karibu wana Jamvi tujadiliane hiki kitu...

Kujenga nyumba ya kuishi mfano Vyumba vitatu au vinne au Viwili ni mafanikio au ni Majukumu..??

Mfano wewe ni mtumishi wa Umma Je, Huwajibiki kuijengeaa nyumba, Je kwanini tusiseme ni majukumu yakoo kuhakikisha familia yako inapata makazi bora...??

Je, kama ni mtumishi mfano mwalimu kujenga nyumba huwez kusema nimefanikiwa kwa kuwa nimeweza kujenga nyumba ya Kuishi..??

Hojaa yangu iko katikaa kitu mahususi kifuatacho, mimi ni mkazi wa Mwanza nimebahatikaa kufikaa mkoa wa Kagera na Viunga vyake....Kuanzia Kibaoni, Muleba, Nshamba, Rubya, Kyaka, Kemondo, Bihalamulo, Kanyigo, Karagwe, Katoro, Katoma, Kiyanja, Minziro...

Kotee hukoo watu kwa wingi wanaishi kwa Nyumba bora, nyumba za Kisasa na makazi bora kwa familia Nyingi....kulinganishaa na Wilaya na Viunga vya mkoa wa Ruvuma.....

Kwanini nimeelezaa hayoo juu...kwa Takwimu za BOT mikoa Tajiri Tanzania ni....

Mikoa Tajiri GDP per Capita in Thousand Tsh.
1. Dar es Salaam - 4,678,751
2. Iringa - 4,028,544
3. Mbeya - 3,788,604
4. Ruvuma - 3,396, 587
5. Kilimanjaro - 3,393,587

Mikoa masikini Tanzania
1. Kagera - 1,168,661
2.Kigoma - 1,479,389
3.Singida - 1,622,891
4. Dodoma - 1,759,347
5. Tabora - 1,777,039

Chanzo: NBS

Hapaa ndo napata hoja Je, kumbe kuwa na nyumba nzuri sio mafanikio......??????
Mkuu mfano uliotoa kwamba maeneo ya Kagera na viunga vyake kuwa Wana makazi Bora kuliko mkoa wa Ruvuma si kweli.
Mimi naishi Moja ya wilaya katika mkoa wa Ruvuma na mwezi sep 2021 nilikuwa huko karagwe maeneo ya rukurahinjo,nkwenda na mkombozi kiukweli sikuamini niliyoyaona.
Kwanza huko choo si lazima,kuwa na choo ni anasa. Nyumba nilizoziona huko sijawahi kuona katika wilaya ninayoishi. Huku ninakoishi kuona nyumba imejengwa kwa miti na kugandikwa tope itakuwa ni Moja ya maajabu ya Karne.
Huko karagwe mwenyeji wangu alinitembeza aise Hadi huzuni unakuta kanyumba ka udongo vyumba viwili halafu familia Ina watoto 10 mabinti kwa vijana wanalala chumba kimoja.
Ki ukweli mkoa wa Kagera hasa karagwe na vijiji vyake bei ya saruji hawaijui.
Lakini huku ninakoishi mji na vijiji vyake nyumba zote ni za tofali za kuchomwa na bati juu.90% ya nyumba zake zimepigwa lipu angalau ndani na watu wa huku deki wanaijua tofauti na huku rukurahijo
 
nyumba za kuishi zinachangia vipi kwenye mzunguko wa fedha??watu wanaeza ishi kwenye nyumba za udongo lakini kukawa na mzunguko wa fedha aka (buying n selling), wabobezi wa uchumi watakuja kuongezea nyama
 
Kujenga nyumba ni mambo mawili.

1. Kuharibu mazingira. Kwa kutamiti ili usafishe kiwanja pia kuchimba mchanga na cement pia inatokana na miamba inayochimbwa. Pia mbao za ujenzi zinatokana na miti.

2. Uoga wa maisha. Kuwa usipojenga watu watashangaa kwa kuwa wao wamejenga. Unaishi kwa kufuata wasemayo watu au tuseme unaishi kwa kuigiza wafanyayo wengine.

3. Ni matumizi mabaya ya rasilimali hela na nafasi (space). Kama nyumba tayari zipo za kutosha na kila mtu ana pakulala kwanini ujenge mpya? Walio na zakwao watawapangishia wasio kuwa nazo. Kila mtu akiwa na nyumba maana yake kuna mijumba itakuwa ni makazi ya buibui na vumbi.

Tule maisha wazee ukipata hela nunua gari ya ndoto yako uwe unatembelea kalio.
Sawa. Vipi uwezo wako wa kipato ukikoma kabisa kwa sababu kv ulemavu na ukawa Huna uwezo wa kulipa pango itakuwaje mwanabodi, nishawishi tena.
 
Swali lako nadhani lina ukakasi sehemu...

Makazi ni moja ya mahitaji muhimu kwa binadamu wote..., kwahio kama jamii tutakuwa tumefanikiwa kama kila mtu atapata makazi bora....

Kujijengea makazi mazuri ofcourse ni mafanikio na wewe kama part ya jamii yako kushindwa kufanya hivyo (sio lazima kujenga hata kuhakikisha hawanyeshewi mvua) hata wewe roho itakuuma...

Kujenga ili mradi kujenga hata kama nyumba haziendani na soko (kwa wapangishaji) ni matumizi mabaya ya mazingira... ila ukiwepo mfumo mzuri nyumba za viwango tofauti kada tofauti na mfumo wa mortgage kwa watu wote (ambao wana vipato tofauti) ndio njia pekee ambayo ni sustainable kuhakikisha watu wanapata hili hitaji muhimu la makazi..., Sababu hata kama jamii tukiweza nyumba za kutosha ila sio kulingana na vipato vya watu hayo majengo yakageuka kuwa ghettos....
 
Kariri "maisha ni nyumba" kama ilivyo , nyumba ni choo. Nyumba ni kati ya mahitaji muhimu ya binadamu.
 
Kwahiyo Ruvuma imeipiku mwanza dah imejitahidi sana kinachofelisha njia zake hazina lami ni vumbi tu
 
Karibu wana Jamvi tujadiliane hiki kitu...

Kujenga nyumba ya kuishi mfano Vyumba vitatu au vinne au Viwili ni mafanikio au ni Majukumu..??

Mfano wewe ni mtumishi wa Umma Je, Huwajibiki kuijengeaa nyumba, Je kwanini tusiseme ni majukumu yakoo kuhakikisha familia yako inapata makazi bora...??

Je, kama ni mtumishi mfano mwalimu kujenga nyumba huwez kusema nimefanikiwa kwa kuwa nimeweza kujenga nyumba ya Kuishi..??

Hojaa yangu iko katikaa kitu mahususi kifuatacho, mimi ni mkazi wa Mwanza nimebahatikaa kufikaa mkoa wa Kagera na Viunga vyake....Kuanzia Kibaoni, Muleba, Nshamba, Rubya, Kyaka, Kemondo, Bihalamulo, Kanyigo, Karagwe, Katoro, Katoma, Kiyanja, Minziro...

Kotee hukoo watu kwa wingi wanaishi kwa Nyumba bora, nyumba za Kisasa na makazi bora kwa familia Nyingi....kulinganishaa na Wilaya na Viunga vya mkoa wa Ruvuma.....

Kwanini nimeelezaa hayoo juu...kwa Takwimu za BOT mikoa Tajiri Tanzania ni....

Mikoa Tajiri GDP per Capita in Thousand Tsh.
1. Dar es Salaam - 4,678,751
2. Iringa - 4,028,544
3. Mbeya - 3,788,604
4. Ruvuma - 3,396, 587
5. Kilimanjaro - 3,393,587

Mikoa masikini Tanzania
1. Kagera - 1,168,661
2.Kigoma - 1,479,389
3.Singida - 1,622,891
4. Dodoma - 1,759,347
5. Tabora - 1,777,039

Chanzo: NBS

Hapaa ndo napata hoja Je, kumbe kuwa na nyumba nzuri sio mafanikio......??????

Kutimiza majukumu ya familia Ni mafanikio;
 
Mkuu mfano uliotoa kwamba maeneo ya Kagera na viunga vyake kuwa Wana makazi Bora kuliko mkoa wa Ruvuma si kweli.
Mimi naishi Moja ya wilaya katika mkoa wa Ruvuma na mwezi sep 2021 nilikuwa huko karagwe maeneo ya rukurahinjo,nkwenda na mkombozi kiukweli sikuamini niliyoyaona.
Kwanza huko choo si lazima,kuwa na choo ni anasa. Nyumba nilizoziona huko sijawahi kuona katika wilaya ninayoishi. Huku ninakoishi kuona nyumba imejengwa kwa miti na kugandikwa tope itakuwa ni Moja ya maajabu ya Karne.
Huko karagwe mwenyeji wangu alinitembeza aise Hadi huzuni unakuta kanyumba ka udongo vyumba viwili halafu familia Ina watoto 10 mabinti kwa vijana wanalala chumba kimoja.
Ki ukweli mkoa wa Kagera hasa karagwe na vijiji vyake bei ya saruji hawaijui.
Lakini huku ninakoishi mji na vijiji vyake nyumba zote ni za tofali za kuchomwa na bati juu.90% ya nyumba zake zimepigwa lipu angalau ndani na watu wa huku deki wanaijua tofauti na huku rukurahijo
Utakuwa una matatizo kichwani....Kwa hiyo ukaamua kwenda huko karagwe na kuchukua nyumba za wahamiaji haramu sio....

Wilaya nyingi za mkoa wa kagera hasa zile za wahaya zina nyumba nzr Tena za kiwango huwezi linganisha na mkoa wowote hapa tz
 
Si kweli mkuu. Nyumba zinazoonekana tu barabarani kule muleba,kyaka,kayanga,omurushaka,nkwenda,ngara na biharamulo ni za ajabu Hadi unajiuliza kama usoni kuko hivi je m#tak#n# huko kukoje?. Kifupu mkoa wa Ruvuma Kuna nyumba nzuri na za viwango. Kulinganisha nyumba za mkoa wa Ruvuma na Kagera ni matusi hata wewe unajua hilo
 
Labda Kuna kagera yako tofauti ......

Hiz wilaya muleba,misenyi, bukoba na sehemu za karagwe hakuna nyumba mbovu na kama zipo zinahesabika

FB_IMG_16414353959007739.jpg
 
Back
Top Bottom