Kujenga nyumba kubwa hasara zake ni kubwa kuliko faida

Kweli!... Ukute mtu kajenga lijumba la ghorofa moja halafu hakuweka lift na mungu akamjalia kuishi miaka zaidi ya 90. Kupanda ngazi kwenda ghorofani ni kazi kama huna wasaidizi.

Mzee mipango nae siku zijazo ataanza kuhimiza watu walipe kodi ya majengo kwa mita za mraba!. ... Mbele ya safari utatamani kulikimbia jumba kuelekea shamba.🥴🥴
 
Back
Top Bottom