Kujenga nyumba ni rahisi kuliko kununua gari

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wanabodi, wengi wamekuwa wepesi sana kununua magari wakiamini ni simple zaidi kuliko kumiliki/kujenga nyumba! Kujenga nyumba ni rahisi zaidi kuliko kununua gari. Kivipi ?

Ili ununue gari, ni lazima uwe na hela cash, mfano 10m n.k, lakini kujenga nyumba unaweza kuanza hata ukiwa na hela kidogo, mfano:

Milioni 1 ni sawa na tofali 1,000 ambazo unaweza kupandisha vyumba zaidi ya viwili hadi kwenye renta. Ukiwa na laki 5 ni sawa na tofali 500 ambazo chuma kimoja kinaisha. Ukipata hata laki 2, ni rahisi kutumia laki 1 halafu laki 1 nyingine ukanunua cement mifugo 7 au 8.

Nyumba unajenga ukiwa na hela ndogo ndogo tofauti na kununua gari. Gari linataka hela nyingi kwa wakati mmoja.

Tujenge jamani, ni rahisi kuliko kununua magari.
 
Wanabodi, wengi wamekuwa wepesi sana kununua magari wakiamini ni simple zaidi kuliko kumiliki/kujenga nyumba!

Kujenga nyumba ni rahisi zaidi kuliko kununua gari. Kivipi

Ili ununue gari, ni lazima uwe na hela cash, mfano 10m n.k...lakini kujenga nyumba unaweza kuanza hata ukiwa na hela kidogo, mfano:-

Milioni 1 ni sawa na tofali 1,000 ambazo unaweza kupandisha vyumba zaidi ya viwili hadi kwenye renta..

Ukiwa na laki 5 ni sawa na tofali 500 ambazo chuma kimoja kinaisha....

Ukipata hata laki 2, ni rahisi kutumia laki 1 halafu laki 1 nyingine ukanunua cement mifugo 7 au 8..

Nyumba unajenga ukiwa na hela ndogo ndogo tofauti na kununua gari.

Gari linataka hela nyingi kwa wakati mmoja.

Mkuu tupia picha za hizo nyumba za bajet ndogo tuhamasike zaidi.. otherwise hoja zako smart 👍
 
kujenga nyumba unakuwa na mazoea ya ajabu madukani na urafiki wa kuforce wenye maduka ya vifaa vya ujenzi.

mnakopa sana
 
Attachments

  • 20230126_214633.jpg
    20230126_214633.jpg
    62.5 KB · Views: 41
Wanabodi, wengi wamekuwa wepesi sana kununua magari wakiamini ni simple zaidi kuliko kumiliki/kujenga nyumba!

Kujenga nyumba ni rahisi zaidi kuliko kununua gari. Kivipi

Ili ununue gari, ni lazima uwe na hela cash, mfano 10m n.k...lakini kujenga nyumba unaweza kuanza hata ukiwa na hela kidogo, mfano:-

Milioni 1 ni sawa na tofali 1,000 ambazo unaweza kupandisha vyumba zaidi ya viwili hadi kwenye renta..

Ukiwa na laki 5 ni sawa na tofali 500 ambazo chuma kimoja kinaisha....

Ukipata hata laki 2, ni rahisi kutumia laki 1 halafu laki 1 nyingine ukanunua cement mifugo 7 au 8..

Nyumba unajenga ukiwa na hela ndogo ndogo tofauti na kununua gari.

Gari linataka hela nyingi kwa wakati mmoja.

Tujenge jamani, ni rahisi kuliko kununua magari.
Hiyo nyumba kiwanja utakua umepewa bure au umenunua? Nyumba kuzika pesa gari kukusaidia wakati wa shida, inauzika ndani ya siku moja
 
Kweli vijana hatuna unakuta Mtu ni Mwalimu anapokea 600k ananunua gari kwa mkopo huku Hana hela ya Mafuta.
 
Wanabodi, wengi wamekuwa wepesi sana kununua magari wakiamini ni simple zaidi kuliko kumiliki/kujenga nyumba! Kujenga nyumba ni rahisi zaidi kuliko kununua gari. Kivipi ?

Ili ununue gari, ni lazima uwe na hela cash, mfano 10m n.k, lakini kujenga nyumba unaweza kuanza hata ukiwa na hela kidogo, mfano:

Milioni 1 ni sawa na tofali 1,000 ambazo unaweza kupandisha vyumba zaidi ya viwili hadi kwenye renta. Ukiwa na laki 5 ni sawa na tofali 500 ambazo chuma kimoja kinaisha. Ukipata hata laki 2, ni rahisi kutumia laki 1 halafu laki 1 nyingine ukanunua cement mifugo 7 au 8.

Nyumba unajenga ukiwa na hela ndogo ndogo tofauti na kununua gari. Gari linataka hela nyingi kwa wakati mmoja.

Tujenge jamani, ni rahisi kuliko kununua magari.
inategemea unajenga nyumba ya aina gani ndugu
 
nikweli kujenga nyumba ni raisi kuliko kununua gali lakini inategemea aina ya nyumba unayo ijenga kuna nyumba za kuishi za biashara uwancha tu bila m 500 ajaupata
 
Ujue kila kitu ni maamuzi kununua gar au kujenga nyumba yate ni sawa tu. Kikubwa unaanza na lipi. Tatizo wabongo kama yeye ameanza kujenga anataka na mwenzake ajenge na kuwaona wasio jenga wapumbav. Au kama ameanza kununua gar bas same stor. Ww fanya unacho jickia
 
Back
Top Bottom