Kujenga nyumba kubwa hasara zake ni kubwa kuliko faida

Mleta mada umezungumza ukweli kwa wenye mtazamo kama wako. Sisi wengine tuna mtazamo tofauti. Tokea tumeanza kujitambua malengo yetu ni kupambana ili tuje kujenga nyumba ya ghorofa moja na vyumba 6 vya kulala. Tusipoweza kulitimiza hili then we are a failure on this beautiful earth regardless of other factors.
Uko kama Mimi

Sipendi nyumba ndogo mimi
 
Siku hizi hatujengi tena Nyumba Yenye mavyumba mengi hivyo
Si kila mtu anajenga nyumba kwa ajili ya faida, pesa huwa ikiwepo inasumbua, kujenga nyumba kubwa ni ufahari tu na kuonyesha matumizi halali ya pesa.
Si kila mtu anashida na pesa.
Wengine wanazitafutia matumizi tu kwani zipo
Mnajenga chumba na senile?
 
Cha muhimu fanya kile kitachokupendeza kulingana na uwezo wako.

Yaani maskini ajenge nyumba ya vyumba viwili na bakhresa nae ajenge hivyo hivyo si matumizi mabaya ya utajiri???

Mola akikiruzuku mali basi pamoja na mambo mengine ishi sehemu nzuri, kula vizuri, vaa vizuri, tembelea gari zuri nk
(usisahau kuwasaidia wasiojiweza)
Umeongea vyema kabisa.

Wengi wenye mijumba mikubwa wana zaidi ya vyumba huko ndani.

Kuna swimming pool, garage, movie theatre, sports arcade, bathrooms za kutosha, studio ya kurekodia, ofisi, library, walk in closets, kitchens za kutosha, living rooms za kutosha.

Sio kila mtu anapenda kujibana kwenye 3 bedrooms.
 
inatakiwa kujenga nyumba kuendana na kipato chako, watanzania wengi kipato kidogo anataka kujenga lijumba likubwa , mara bati la msouth, matokeo yake linachukua miaka kukamilika, jenga nyumba kuendana na kipato chako,
Kweli kabisa swala hapa ni uwezo wa mtu ,furaha yake na mahitaji yake ya baadae, hakuna ukubwa maalum wa nyumba mtu anaweza sema huu unatosha. ISHI MAISHA YAKO
 
Aliyekwambia nyumba kubwa kama hiyo kila chumba ni cha kulala ni nani, hapo kuna study room, library, theatre, studio, indoor bar, club, etc...ukiwa na hela huwezi waza matumizi wala huwezi ona shida kujenga nyumba kubwa kama hiyo...kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Alamski
 
Mleta mada umezungumza ukweli kwa wenye mtazamo kama wako. Sisi wengine tuna mtazamo tofauti. Tokea tumeanza kujitambua malengo yetu ni kupambana ili tuje kujenga nyumba ya ghorofa moja na vyumba 6 vya kulala. Tusipoweza kulitimiza hili then we are a failure on this beautiful earth regardless of other factors.
Watu tuliotokea kwenye umaskini (hasa wa africa) huwa tuna shida sana......mara nyingi huwa tunadhamini sana mali kuliko kitu kingine lakini pia tunapenda vitu vitakavyotuonyesha kwenye jamii.......yaani kujenga nyumba ya vyumba vitatu mtu anawaza hivi na uprofesa wangu wote watu wataniona je?........wakati huo huo wazazi ama jamaa zake wa karibu wanaishi kwenye nyumba za udongo kijijini hata kama hawaishi kwenye nyumba za udongo lakin maisha yao unakuta ni duni mno..... there are so many things we could do kwenye investments zikasaidia vizazi na vizazi.....tatizo letu ni exposure na umaskini
 
since way back natafuta hela dream yangu ilikuwa ni kujenga nyumba kubwa na nimejenga nyumba yenye vyumba kumi, nyumba ndogo hapana bora nisijenge, unajenga nyumba ya vyumba vitatu mtu akiflash chooni sebleni wanasikia,mimi nyumba yangu kutoka sebleni kwenda chooni ni mwendo wa dakika 10
 
Back
Top Bottom