Kujenga nyumba kubwa hasara zake ni kubwa kuliko faida

Kweli nadhani tujenge vijumba kama vile vya hotel (suite), vijipange kama kijiji cha mfalme kila mtoto na cha kwake, baba na mama na ya kwao wakihama unavipangisha tu unaingiza pesa unapata na majirani wa kukupa company.
 
Aisee ndug zangu mnajua ujenzi unamaliza pesa Sana,..yan upauzi tu Ni shida..finishing ndo balaa jingne..
Ushauri
Jenga nyumba vyumba vitatu..( viwili vya kawaida na kimoja Ni master bed room,.hakikisha iwe kubwa).choo cha ndani,..stoo,na jiko pamoja na sitting room &dinning room..ukimaliza kuijenga hi nyumba we kweli Ni mwanaume au mwanamke wa shoka...
 
View attachment 1273865

Una familia ya watoto wanne, umefanikiwa kimaisha watoto wanasoma na unajenga nyumba ya ghorofa vyumba 12 vya kulala.

Kwanza gharama za ujenzi ni kubwa, baada ya ujenzi kutunza nyumba ya vyumba 12 ni gharama kubwa sana. Hata ukiwa na mawazo ya familia kukutana watoto wanne wenye mafanikio si mara nyingi watakuwa nyumbani.

Nyumba ya vyumba vinne mpaka sita inatosha, pembeni unaweza kuweka houseboy quarter na guest wing.

Ukiwa mzee wewe na mke wako au mume wako kuishi kwenye nyumba ya vyumba 12 wakati watoto wote wana miji yao nayo ni gharama,
Itakua hotel hiyo, hajaanza tu biashara!!
 
since way back natafuta hela dream yangu ilikuwa ni kujenga nyumba kubwa na nimejenga nyumba yenye vyumba kumi, nyumba ndogo hapana bora nisijenge, unajenga nyumba ya vyumba vitatu mtu akiflash chooni sebleni wanasikia,mimi nyumba yangu kutoka sebleni kwenda chooni ni mwendo wa dakika 10
Unamjua Kiduku Lilo Mkuu?
 
Aisee ndug zangu mnajua ujenzi unamaliza pesa Sana,..yan upauzi tu Ni shida..finishing ndo balaa jingne..
Ushauri
Jenga nyumba vyumba vitatu..( viwili vya kawaida na kimoja Ni master bed room,.hakikisha iwe kubwa).choo cha ndani,..stoo,na jiko pamoja na sitting room &dinning room..ukimaliza kuijenga hi nyumba we kweli Ni mwanaume au mwanamke wa shoka...
30-40 mln ndio inatosha kwa hiyo nyumba inakuwa standard kabisa sasa hii pesa sio mchezo
 
Nyumba yangu Ghorofa vyumba 11 square meter 9000 compound yote inaukuta mrefu kuzunguka nyumba, nina wtt watatu wanasoma wote mimi nashinda Jumapili tu Nyumbani. Ukweli Natamani chumba kimoja na sebule.Ushauri usijenge nyumba kubwa haina raha kabisa.
Sqm 9000 nnazozijua mimi au kuna zingine??? Hilo ghorofa ground ni mlimani city au??? Duhhh hongera aisee maana ukitandaza nyumba yako chini uwanja wa mpira hautoshi.
 
Back
Top Bottom