Kujenga na Ujenzi kwa wenye kipato cha chini

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,728
Reaction score
4,172
Tuanze na hii hiki ni Chumba kimoja chenye urefu na upana wa futi 14,Kwa 14, chumba kina choo ndani, chumba pia kina jiko ndani jiko la saizi ya futi 4 Kwa 5, apo zimetumika tofari 780, sehem ni kigamboni kibada,,,, maisha ni kuchagua😍😍
1758797493372.jpg

Kwa ushauri Bora wa kitaalamu muone Hechy Essy
 
Pichani ni nyumba ya vyumba viwili tuu na sebure tofari zako 1450 tuu na Kiwanja chako Cha futi 30 Kwa 30 mchanga wako gari mbili kenta za kujaa kabisa, nondo zako chini 5 na juu 10, na Kokoto zako mifuko 30,tuu na bati zako 35/40. Na wewe unakua miongoni mwa watu waliojenga nyumba ya kisasa,🥰Jenga kulingana na kipato chako na mipango pia utafuraia maisha upo kwako, kunamwenzio amejenga nyumba kubwa mpaka Leo mwaka wa kumi Sasa ni boma tuu na halijaisha🙏🙏🙏🙏
Copywriting (fundi issa fb)
1758798802277.jpg
 
View attachment 3478739
Hii safi kuanzia maisha kabisa
 
Tuanze na hii hiki ni Chumba kimoja chenye urefu na upana wa futi 14,Kwa 14, chumba kina choo ndani, chumba pia kina jiko ndani jiko la saizi ya futi 4 Kwa 5, apo zimetumika tofari 780, sehem ni kigamboni kibada,,,, maisha ni kuchagua😍😍
View attachment 3478733
Kwa ushauri Bora wa kitaalamu muone Hechy Essy
Acheni kupalilia umaskini
 
Back
Top Bottom