ha ha ha ha mkuu wapi hiyo!!kwenye daladala au kunako majambozi!Namba 9 nimeikubali demu kajifanya kakibana usingizi umemumbua! Kweli kishuzi hakizuiliki
kujamba phuuuui!! Kuna watu wanajamba kama treka linalima triii triiii. Wengine wanaachia vya kimya kimya wabaya hao.
Mkuu, vipi kuhusu wale wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile, wao hujamba Mara ngapi kwa Siku?
hiyo number 3 duh