Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,961
- 2,138
Katika pita pita zangu nimekutana na picha ya mama na mwanawe, na mama kambeba mtoto mgongoni kwa kumsimamisha juu ya mwili wake. Jamani nani kama mama???View attachment 72545
Hingera zake lakini mbona kama mchina kwa mbaaali hivi miguu milonjo sana kuliko mwili
Dena, hiyo figure ni kawaida sana kwa wamama wa ki afroamericans na waki south africans, tena wamarekani inakuwaga balaa, ukipanda nao ndege uka share nao mahali pa kukaa utakoma.
Dena, hiyo figure ni kawaida sana kwa wamama wa ki afroamericans na waki south africans, tena wamarekani inakuwaga balaa, ukipanda nao ndege uka share nao mahali pa kukaa utakoma.
Eehh kumbe nilikuwa sijui mwenzio. saragossa bana eti ndege mie sijawahi panda ndege tangu nizaliwe ujue!! Asante kunifahamisha mwayego
Huu mpododo ni majanga kwa makondakta
Umeona fulushi hilo D.A ndo ngoma zangu hizo.