Kujaliwa umbo zuri

Hingera zake lakini mbona kama mchina kwa mbaaali hivi miguu milonjo sana kuliko mwili

Dena, hiyo figure ni kawaida sana kwa wamama wa ki afroamericans na waki south africans, tena wamarekani inakuwaga balaa, ukipanda nao ndege uka share nao mahali pa kukaa utakoma.
 
Eehh kumbe nilikuwa sijui mwenzio. saragossa bana eti ndege mie sijawahi panda ndege tangu nizaliwe ujue!! Asante kunifahamisha mwayego
 
Last edited by a moderator:

saragossa & Dena Amsi

Teh! teh! ... angalia hii .. Jamaa hajatosha kwenye kiti! cha ndege..

Hakuna kufunga mkanda!
fat-dude-on-plane.jpg
 
Nina wasiwasi muda si mrefu huyu mchina atasababisha hata gharama za majeneza zianze kupanda bei kwa style hii.
 
Back
Top Bottom