Ishaisha muda jaman leo ndio nimehakikisha.....nimekutana na jamaa zangu wawili tulifanya nao hiyo interview ya TRA walikua kunduchi beach kwenye semina ya siku 5 na wameingia kazini muda tu kwahi u o ambao tushaliwa tuangalie mengine
endelea kuishi mazingira ya kukata tamaa na kuwa na mawazo finyu. Mimi nina rafiki zangu wamepata kihalali,wewe endelea na roho ya hivyo hivyo. ushindani huwa unakuwa mkubwa japo inawezekana wapo wachache ni pandeTRA? Full kujuana pale.
Tra now hakuna kujuana ni wa kweli mm ni mmoja wa mashuhuda wao