Mungu ni mwema wamenipigia Leo Kama PA
Hongera duuh!
Kama nakuona vle..
Ngoja tuendelee kusubir neema za Mungu.
Mungu ni mwema wamenipigia Leo Kama PA
Hongera mkuu, wamekupigia mida ya saa ngapi?
Mungu ni mwema wamenipigia Leo Kama PA
Mungu mkubwaa...
Hongera sana mkuu.....
Ngoja sisi tuendelee kuwa na subiraa...
Mungu awe nasi
Hahaha yasitokee yale ya.nssf
Wamemaliza?.....
mimi nimeona namba inaishia na 700 je ndio zenyewe airtel naipiga haipatikani?
Ina maana kuna uwezekano wakupewa majina mengine.....
May be hii itafunga huu uziii...
Watu toka jumatatu ya tarehe 13 april..
Wameingia pale chuo cha Kodi na kuendelea na kinachotakiwa kuendelea.. soooo Its done..
Unless you are reserve..